Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

nawaza yafuatayo
-AINA YA MASHTAKA
-MAHAKAMA WATAKAYOSTAKIA
-HAKIMU
-WAKILI
-WAO WATAKUWA MASHAHIDI AU WASHTAKI?

hivi hawa WAMELOGWA AU NINI?
PSYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Hujui kitu ww kaa kimya Dj Afro ni waya wa stima
Nikae kimya kwa kipi sasa kila mtu Ana test zake kuna wengine wanaona Chibu ni bora kuliko kiba, kuna wengine wanaona Pepsi ni tamu kuliko Coca-Cola, kuna wengine wanaona Messi ni moto wa kuotea mbali kuliko CR so kitu unachotakiwa kujua ni kuwa kila mtu anamapenzi yake na test yake
Kwa upande wangu Mark yuko poa kuliko Afro so usinilazimishe kupenda unachokipenda au kuamini unachoamini
Hope umenisoma mkuu
 
apo bongo movie watachemka kwa hilo, nakumbuka tumeangalia movie za akina chuck noris, van damme zikitafsiriwa na mkandala lufufu, hawakuwahi kusema chochote, pili kuna movie kama za kihindi, kikolea tunaangalia bila ata kutafsiriwa maaana wengine hatupendi zilizotafsiriwa ili tuone ubora zaidi ata kama atujui lugha, za kibongo hazina ubora ndo maana hatuangalii, location mbovu,wanaoingiza maneno ya kiingereza wanakosea,picha inaanza ushajua mwishowe utakueje, apo wajipange sana. mimi siko interested na bongo movie aiseeee. tatizo si dj.mark.
 
Ingekuwa wanamshtaki kwa kukiuka sheria za soko au anatafsiri bila idhini ya wenye hati miliki kungekuwa na mashiko. Lakini kwa ajili ya ushindani wa soko wanatakiwa wajenge hoja yenye nguvu kuonyesha kuwa huyo jamaa anakiuka misingi ya biashara huru (fair competition rules).
 
Ata wakimshitaki hatutaangalia movie zao kwa upumbavu kama huu
6a5253fc4b1a254e6890064148e33f55.jpg
Loyerrrr. hana uharisia hata tonee hahaha?.
 
Tena huyu Yusuph ndio anaongoza kwa kuigizi movie za ovyo, huwa nikiona kuna sura yake tu basi hiyo movie nishajua inahusu nn, itakuwaje, itaishaje, etc,
movie zenye akili ndogo zisizompa somo mtazamaji haziwezi kuendelea kuuzika sokoni. Hawajiulizi kwa nn za Kanumba zilikiwa zikiuzika huku mtaani vibanda vya Rufufu vimejaa?
 
Kujipanga ni pamoja na kupambana na soko la haki
Ktk biashara changamoto nilazima.
Zaid tupo ktk kipindi cha soko huria. Bidhaa ndio inayojiuza kutokana na ubora wake na sio kelele.
Wakae chini kwa pamoja watafute adui yao wakweli, Mm nadhani movies zanje sio their real enemy.
Their real enemies wanao wao wenyewe
 
Kazi ipo kumstaki mwanao kwa kutumwa viongo vya chakula vya jilani kisa kimenukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shida siyo mtoto shida UFUNDI
 
nawaza yafuatayo
-AINA YA MASHTAKA
-MAHAKAMA WATAKAYOSTAKIA
-HAKIMU
-WAKILI
-WAO WATAKUWA MASHAHIDI AU WASHTAKI?

hivi hawa WAMELOGWA AU NINI?
PSYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Usipojijua na kumjua adui wako kamwe huwezi kushinda vita, hapa inaonesha mapema, vichwa vyao vimeshafikia ukomo. Sa nadhani si lazima kila nchi iwe na tasnia zote, hii tuwaachie wengine nao watafute chaka lingine watakalolimudu.
 
Wananitia hasira sana badala wakae chini wajipange jinsi ya kujiongeza wao wanakaa kulumbana mno na kufanya yasiyo ya msingi..

WANAZIDI KUNIPA SABABU ZA KUTOWA_SUPPORT
Neno kuntu
 
Kuna Dj mmoja anaitwa Mkandala Lufufu, huyu bwana nimeanza kumsikia akitofasiri movie kabla ya bongo movie, huyu ndo anastahili kuwashtaki bongo movie kwa kumharibia soko lake!!
 
Back
Top Bottom