Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Kwani kina mlela na mwinzie phd ni waigizaji au wasaka tonge tu!?
Mmechelewa sana bongo movies, haya mnayofanya leo mlitakowa kuyafanya zamani sana pengine ingewasaidia watanzania tungezoea movie zenu za low quality na story mbovu
 
Sasa wanamshitaki kW kosa lipi? Yaan wameishiwa mpaka sasa wnaleta movie za hiv
 
kipindi icho ajaanza kutafsiri ndani ya VHS alikuwa akija na spika yake na mike anakaa mbele , kipindi icho video inaonyesha picha ya rangi nyeupe anatafsiri mkiwa mnamuona na yeye live. ila ndo ivo. R.I.P Mkandala Lufufu mzee wa viazi na kumimina mwaaaaaaani.
 
Ndo shida ya kuingia kwenye fani bila kuwa na elimu ya kutosha uelewa wao mzigo sana pamoja na mapungufu ya kisheria bado wao ni wachanga sana katika tasnia ya filamu watu wana miaka 800 kwenye filamu wao ndo kwanza hata miaka 10 bado ajabu sana wajipange upya
 
tatizo sio movie za nje, ni ubora wa filamu zetu
utakuta
[HASHTAG]#jambazi[/HASHTAG] kavamia nyumbs akiwa kavua kiatu!
[HASHTAG]#jini[/HASHTAG] kavaa Dila
[HASHTAG]#jini[/HASHTAG] linavuka road kwa kuangalia kushoto na kulia
#no creative
[HASHTAG]#wengi[/HASHTAG] wamekimbia shule
[HASHTAG]#uigizaji[/HASHTAG] wamejifunza kwenye TV
hakuna jipya

Ndio mnishawishi ninunue Movie za kibongo! weka Atlantis, secret mission, merlin, hero,seeker sahau bongo movie.
 
Nao wao wafunguliwe mashtaka kwa kukopi maudhui ya kazi za njeee.
 
Mi nilichogundua hawa watu wanataka wazid kukopi movie za nje halaf wajifanye wabunifu,,,, kuna movie ya kihindi inaitwa ya kibongo inaitwa family imechezwa na hemed wema na anty ezekiel den ukichek muvi ya kihindi inaitwa my family matukio ni yale yale waloigiza kina wema lkn watasema walipata shida sana kuandika hyo movie na vtu kibao wkt wanakopi movie za nje
 
Wapuuzi hawa jamaa sijaona...
Hawa jamaa ubunifu zero nothing in their minds wamekalia majungu tu banda ya kujiuliza tatizo ni nini mpaka soko lao kudrop kiasi hicho wanachojua ni kuvaa kijani kibichi na kukata mauno kwenye majukwaa tu sijui hawana washauri wa masuala ya marketing na hata hawajifunzi kwa nchi za kiafrika zinazofanya vizuri kwenye hii industry kama Nigeria na Ghana .pathetic fools
 
Wameshikwa pabaya! Watoe movie zinazokidhi viwango,lakini kama ndio hizi za sasa hata bure siangalii,Nimeshawahi kusimamia movie Moja yaani hakuna umakini kabisa.location mnaulizana asubuhi''hivi hii script wapi kutafaa?'' Yaani Tz Bado kabisaa
Kwema mkuu. Msalimie pacha wako. Alafu ebu force ule mzigo utoke na sisi tutengeneze move yetu
 
Sijawahi angalia movie za kibongo maana hawajuwi kuigiza wanahadithiatu maisha yao. It's better niangalie comedy nitacheka akina Bitoke kuliko ????
 
Uliona wapi movie inaandaliwa siku mbili ya tatu una record after a week iko mitaani wenzenu ulaya ndani ya miaka mitano movie iko jikoni na directors mbalimbali.kwetu wewe ni camera man.director .actor. duu vyote wewe
 
Back
Top Bottom