Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

Acheni kuwasakama bongo movies. Sababu ni zile zile;

1.Lack of capital. Stori inahitaji props zinazoendana na script lakini Bajeti ni Tsh. 400,000. Unategemea nini ?

2. Lack of/No Government support. Serikali inataka wasanii wasajili Drones kila unaposhoot hata scene moja kwa sababu za kisiasa. Ukienda kuomba location ya kituo cha Polisi unanyimwa, mahakamani unanyimwa, ofisi ya umma unanyimwa na stori inahitaji uhalisia. Kuvaa sare za askari ni tatizo, mlolongo ni mrefu na hauna matumaini. Unategemea ubora?

3. Poor tools and equipments. Vifaa vya wenzetu ni professional zaidi. Camera na Lens ni cinematic, vifaa vya kuongeza effects CGI etc.

etc. etc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..Yule jamaa Idrisa Sultan alianza kujitahidi kuweka mambo sawa.....hakuna kitu inakera na wakati huo huo kuumiza kama kuangalia bongo movie...hakuna uhalisia hata kidogo.....kwa Bongo movie siku zote Gateman lazima awe kama taahira fulani hivi..sijui wamejifunza wapi?
 
Tatizo la wasanii wa bong fleva nililelile linalo kumba wachugaji wa kilokole born again christians wengi ni vilaza school drop-out wa form 2 form 4 na dalasa 7 ... eti mtu anakupa baraka anakemea mapepo nk.

Hao watu wameharibu sana dini za watu na familia za watu kwasabab hawana uwezo wa kuchambua na kuelewa bibilia vizuru wanapotosha wengi na wanawatumia wengi.........
 
Inakera, hivi kiuhalisia mtu anaweza kuajiri mlinzi chizi?!
Bongo move ni uchafu tu
 
Himaya yangu nimehangaika nayo miaka nenda Rudi halafu From no where tu uje kuniaribia, lazima nikuroge ikiwezekana kukuua kabisa, hiyo ndo slogan ya bongo movie
Yaan wanatutisha, na hili Monalisa aliwahi lizungumzia kwenye kipindi cha Salama na Monalisa, wenyeji wanabana chances za wageni wenye uelewa wa darasani kwa maslahi yao,
Si dhambi kujifunza vitu vipya atii.
 
Licha ya hivyo Bongo movie weng hawajui hata hivyo vitu wakipewa,nend huko azam au dstv kaangalie tamthilia zao, story hailewek,stori haina uhalisia,wahusika hawaja vaa uhusika, wahusika hawajaandaliwa vizur,mhusika anafany mambo ovyo ovyo hujui kfany hivy kwa sababu gani, kingine tone za story ni zile zile hamna kitu kipya wala kitu cha ajabu,wakorea wanastori nzuri nying wla na nying hazitumii CGI wla special effects.yan bongo movie ni bora liende
 
Yaan wanatutisha, na hili Monalisa aliwahi lizungumzia kwenye kipindi cha Salama na Monalisa, wenyeji wanabana chances za wageni wenye uelewa wa darasani kwa maslahi yao,
Si dhambi kujifunza vitu vipya atii.
Yanahitajika mapinduzi ya kisanaa,maana sisi wenyew tulipeleka project taasisi mmoja kiserikali ila hawa jamaa wanajiita bongo movie walifanya figisu tukapigwa chini
 
Yanahitajika mapinduzi ya kisanaa,maana sisi wenyew tulipeleka project taasisi mmoja kiserikali ila hawa jamaa wanajiita bongo movie walifanya figisu tukapigwa chini
Mapinduzi yanahitajika hasaa, kwa umoja wetu tutaweza, ifike mahala Bongo movies wakongwe watupishe na sie tuoneshe vipaji na taaluma zetu kwa Watanzania, wamekua na fitna sana.
 
Bwana Heriel umeongelea sababu moja tu kati ya nyingi inayosababisha kuwepo kwa hii hali. Sababu kubwa ya hali kuendelea kuwa hivi ni serikali yako kupuuzia hii tasnia na kutouwa serious. Bajeti za filamu kali ni mabilioni ya pesa huko Hollywood. Huyo kijana wa darasa la saba au hata aliyetoka chuo mwenye degree anapataje mamilioni ya kutengeneza filamu kali? Wakijitokeza wenye hela zao na kutaka ku-finance hawatawekewa zengwe la kodi kama zote na wengine kuanza kuambiwa ni watakatisha pesa? Hakuna fani yoyote duniani iliyoweza kukua bila mkono wa serikali. Pale DRC muziki wao ni mkubwa kwasababu serikali zao ziliwapa sapoti kuanzia ukoloni hadi leo. Hata ukiangalia Simba leo inafanya vizuri ni kutokana na hela kuwekezwa za kutosha. Acheni kuwalaumu tu wasanii bila kufikiria. Au basi waache hata hiyo fani wawe vibaka ndo mtaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…