Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

ingekuwa imetokea kilimanjaro wachaga tungeaanza kusemwa sisi ni wezi.
Unajuaje kama wahusika si Wachagga. Wachagga waliyo nje ya Kilimanjaro ni wengi kuliko waliyo Kilimanjaro. Hapa sina maana ni Wachagga, ila nataka kusema kwa tukio kutokea nje ya Kilimanjaro haina maana hakuna uwezekano wa Mchagga au Wachagga kuhusika.
 
Vitendo vya wizi na uhujumu kwenye miradi mikubwa ya serikali umeendelea huku hamna hatua zozote zinazochukuliwa na safari hii magari, saruji, mafuta na nondo vimeibwa na kwenda kuuzwa maeneo ya mkoa wa Tabora.

 
Tuseme,nani mratibu wa mambo haya,nani mdhibiti wa haya,nani mzuiaji wa mambo haya,nani kashindwa kufanya jukumu lake, [emoji848] Mimi nitasema yote ni mambo ya mwana/wanachukua chako mapema [emoji848]
Inauma sana
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza kuwa gari hiyo mali ya Kampuni ya ujenzi ya CCECC ilikamatwa Mabama wilaya ya Urambo.
"Ilipotea Januari 27, 2023 katika Kambi ya Malampaka ikapatikana Januari 29, 2023 ikiwa inapelekwa kwa mnunuzi, katika hali ya kawaida gari haliwezi kutoka ndani ya fensi ikapotea maana yake kuna watu wa ndani wameshirikiana na walinzi kuhakikisha kwamba gari linatoka," amesema Chatanda

Hadi nimecheka
 
Wizi hautaisha hadi watu wakianza katwa mikono
 
Hii nchi kila mtu ni mwizi tangia viongozi wa juu mpaka wananchi wa chini kabisa
 
Ha ha ha....nchi ngumu Sana hii
images-499.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom