Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

ingekuwa imetokea kilimanjaro wachaga tungeaanza kusemwa sisi ni wezi.
Unajuaje kama wahusika si Wachagga. Wachagga waliyo nje ya Kilimanjaro ni wengi kuliko waliyo Kilimanjaro. Hapa sina maana ni Wachagga, ila nataka kusema kwa tukio kutokea nje ya Kilimanjaro haina maana hakuna uwezekano wa Mchagga au Wachagga kuhusika.
 
Vitendo vya wizi na uhujumu kwenye miradi mikubwa ya serikali umeendelea huku hamna hatua zozote zinazochukuliwa na safari hii magari, saruji, mafuta na nondo vimeibwa na kwenda kuuzwa maeneo ya mkoa wa Tabora.

 
Tuseme,nani mratibu wa mambo haya,nani mdhibiti wa haya,nani mzuiaji wa mambo haya,nani kashindwa kufanya jukumu lake, [emoji848] Mimi nitasema yote ni mambo ya mwana/wanachukua chako mapema [emoji848]
Inauma sana
 

Hadi nimecheka
 
Wizi hautaisha hadi watu wakianza katwa mikono
 
Hii nchi kila mtu ni mwizi tangia viongozi wa juu mpaka wananchi wa chini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…