Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

30M for promotion?, jamani wampe 50M yote promotion atajifanyia mwenyewe bana.
 
Hakuna hata siku moja mshindi wa BSS aliwahi kulipwa kamili.. Na mbaya zaidi wanahakikisha wanambana mshindi kwa mwaka mzima na kumdhibiti kwenye chochote anachopanga kufanya

Jr[emoji769]
Hivi Kala Jeremiah aliwahi kuwa mshindi wa BSS kumbe? Nadhani unamsema Jumanne Idd
 
Dogo alikomaa sana aisee ,wampe haki yake ,nlishawah jiulizaga hawa jamaa kam wanapewag iz ml 50 mbon life lao baada ya hapo huwa gumu tu japo hzo hel sio nying ila kuna angalau ingeonekana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri Mwijage pia hakutimiza ahadi yake kwa yule binti mshiriki wa Maisha Plus.

Hii nchi ni ujanja ujanja mwingi mbele ya camera.
Hii ni baada ya kukatiwa mrija wa zile elfu saba saba zenu za kule Lumumba, au? Ukitaka mabadiliko acha kushabikia "SISIEMU"
 
Haya yote wameyataka wenyewe, shindano kabla yakuanza kuruka katika ma tv wangetakiwa wawe wameshafanya mchujo ili wakija katika TV wawe na wasanii potensial hata asipokuwa akitolewa wadau wengine wanaweza kumtumia, ila hili la matuni watu kwenye TV, lazima wadhamini wasepe au watoe kiduuuuchu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…