financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
30M for promotion?, jamani wampe 50M yote promotion atajifanyia mwenyewe bana.alafu walivyo wezi wasio na haya wanasema kwenye 50m,Wanampa msanii 20m alafu 30m wanamfanyia promotion Cha kujiuliza promotion gani million 30? Na msanii yupi ambaye amewahi kufanyiwa promotion ya hiyo hela yanapoisha mashindano?sijui wanatuona sisi ni mapoyoyo