Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

Bongo Star Search Wapewa mwezi mmoja kumlipa mshindi wa BSS 2019

Huu ni uhuni kama vipi serikali ihakikishe dogo anapewe hela yake,ikishindikana BSS ifutwe.

Ila Madam Rita kampuni yake ya Benchmark nayo inatembelea rim,lile deni lake na TRA sijui wameshamalizana.
Mzee wetu jamani
 
Kama anaisifia CCM wewe inakuuma Nini?mbona Kuna wengine hata serikali ifanye Jambo gani zuri lazima waponde mbona ujawatolea mapovu? Na kwenye hii issue kosa la serikali ni lipi?
Nilisikia mlitaka kugoma baada ya polepole kuchelewesha elfu saba saba zenu, vipi zimeanza kutoka?
 
Duuh!! Ndio kwamba hailipi hiyo bongo star search au?

Kama hajalipwa hata 100 ni sawa kabisa kulalamika.
Hata kama amelipwa robo siyo sababu ya kutokumlipa,cha msingi alipwe kiasi tunachoambiwa sisi mashabiki analipwa siyo janja janja!siku ya fainali alokabidhiwa mfano wa hundi ya milion 50 ,ndo alipwe hela halisi sasa[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia mlitaka kugoma baada ya polepole kuchelewesha elfu saba saba zenu, vipi zimeanza kutoka?
Mzee baba naona unaruka hoja ya msingi unakimbilia sehemu siyo sasa mambo ya kugoma yanakujaje Cha kukusaidia ni kwamba kwanza me sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa Tanzania ila nimekosoa hoja yako kutokana na namna ulivyoijenga.
 
Mzee baba naona unaruka hoja ya msingi unakimbilia sehemu siyo sasa mambo ya kugoma yanakujaje Cha kukusaidia ni kwamba kwanza me sio mshabiki wa chama chochote Cha siasa Tanzania ila nimekosoa hoja yako kutokana na namna ulivyoijenga.
Wahi ukachukue buku 7 yako, kumbuka kuanzia kesho ni mapumziko ya Sikukuu hadi Jumanne.
 
Kwahiyo umenipa chama Cha CCM?
We MASABURI una akaunti mbili humu, eti? Maana nilikua nalumbana na kada kindaki-ndaki wa CCM, badala ya yeye kujibu unajitokeza wewe. Vijana wa Lumumba bana, hizo Smartphones mlizopewa na Mheshimiwa imekua taabu sana.
 
Kashajitia doa kwa wadhamini! Aibu sana hii kwa mama kuwa hivi [emoji134]‍♀️.
 
Sasa atalipaje na Mengi alishafariki!?
Serikali ingejionheza tu kuwa hawa wanawake wanaojifanyaga wamefanikiwa huwa kuna wanaume wanaosimamia mafanikio yao!!
Mie huwa nashangaa sana hata wale wanaojiita
Malikia wa nguvu kumbe nguvu nyingi huwa ziko viunoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamamamamaye yaani hii ndiyo best comment ya thread. Chukua kombe lako 🏆
 
Sasa mbona hela atayopewa ni ndogo milion ishirin halafu million thelathin kwa kutangaza mziki wake bora wampe zote atajua yy atafanya vp


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Madam Rita na uzuri wote ina maana amekosa Don wakumuweka mjini? Mzee Machache ndiyo alikua sponsor enzi zile. Kampun yake ipo hoi taabani. Mi najua hawezi kosa don la kumfanya akimbize mjini.

Mamaye ndo wajue sisi wanaume ndiyo kila kitu. Hakuna cha sijui every successful man has woman behind. Ni kinyume chake every successful woman has sponsor behind
 
Back
Top Bottom