Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako
"MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO"
Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana na hurka yako.
BE YOU/KUWA WEWE.
Ustawi wa mtu katika jamii yetu hauchukuliwi serious, afya yako ya askili, tabia yako ya kuzaliwa, mapambano yako hadi umefika hapo, tabu zako hadi umebaki kuwa hivyo, etc
thus watakuchukulia serious namna ustawi wako unavyo waathiri wao kisaiskolojia na kihisia ndio maana utasemwa na kuzongwa sana.
KOSA KUBWA UTAKALO FANYA NIKUBADILISHA ASILI YAKO ILI IENDANE NA MATAKWA YA WANAJAMII