Bongo usanii mwingi

Bichwa lako πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wee huoni kilivyochachamaa? Kipe pole kimeachwa kwenye mataa πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
We sio mtu mzuri kabisa🀣🀣🀣
 
Punguza stress, malaya ni wewe usietafakari ulichosoma kwanza, unakurupuka.
Sawa mie sijaolewa hata hivyoo, ila Siko single negative comments zipo ila Huna haya maana dhamira Yako niumle huyo dada nasio fresh hujui hata ametokea ukoo gani ila chap unaangalia chini hayo ni maisha Yako kurupuka tu utakuja kulia utanikumbuka unaweza lizwa , visa ni vingi hapa ni town
 
Hayo ni madhara ya kutohudhuria vikao mbona tuliliongelea hili swala siku nyingi tuu
 
Reactions: 511
Kama alimzaa kwa mshono lazima uanze kuuma upya. Yaani ukipata chansi unamtesa mpaka aonewe huruma sio watu wa kuwachekea kabisa hawa
Malipo ni pale 6*6 siku ukinasa, utajua hujui. Lazima ukawashe feni wiki nzima mixer panado🀣
 
Halafu mkuu mbona mwandiko wako unafanana na wa Melki the Storyteller je ni ndugu au ni ID pacha wake?
 
Hayo ni madhara ya kutohudhuria vikao mbona tuliliongelea hili swala siku nyingi tuu
Siku hiyo nilikuwa safari mkuu, Ila nitatafuta desa nisomeπŸ˜…
 
Pole sana.
Kuhusu kukukumbuka Sizani kwa kweli.
 
Huyo anahudumia mizigo mitano mpaka mbugano huko hata kuomba ameshindwa anataka mpaka wamuonee huruma, hapana kwa kweliπŸ˜…πŸ™†
Kawaida tu, ningekuwa nataka kuomba mchezo sishindwi but sipo interested tu, mi outing zangu atanipa mzigo mwenyewe tu, na hakuna kitu kizuri kama mwanamke aamue kukubariki mwenyewe, anakupa yote😁
 
Tukio bado Jipyaaaaaaaa, Acha kwanza nisahauπŸ˜‚πŸ˜‚
Tumeumbwa mateso banaa..!! We songa nalo mdogo mdogo tu..!! Kukataa na kujidai hawataki ndivyo walivyoumbwa..!! Kwani unadhani wao hawanaga UPWIRU..??
 
Nani alikwambia unipe namba???
Ungekula kwa baba yako tu
Unafikiri kila mwanamke anababaika na vi chipsi chipsi na vikuku, πŸ˜‚, kuna pisi zinajielewa brother na zipo vizuri, nilimkuta dada mmoja anakunywa heineken counter nikamuagizia chupa mbili ile kishkaji tu, yule dada aliniagizia sixer ya Budweiser tukapiga story mbili tatu akaniaga anatoka kuangalia nje kupitia vioo naona v8 ina LED angavu sana inapiga reverse, kijana wangu kaa kwa kutulia, si kila mwanamke utamla kisa pombe na vinyama.πŸ˜‚
 
Kama alimzaa kwa OP mshono lazima uanze kuuma upya. Yaani ukipata chansi unamtesa mpaka aonewe huruma sio watu wa kuwachekea kabisa hawa
Ewaaa hatutakiwi kuwachekea kabisa
 
Reactions: 511
Nimefahamiana nae miezi mitatu kabla, game tumekubaliana wiki kabla. Dinner nilitoa kwa upendo tu baada ya yeye kukubali kunipa show siku hiyo.

Show ilikuwepo kabla ya mimi kuamua kumtoa dinner kisha night ndio tumalize na lengo.
Hivi unadhani atawahi kukupa zigo nope do you know why ???? Anajua Huna lengo naye naumeshamuonyesha ukifanikisha lengo lako niite mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…