- Thread starter
- #321
We sio mtu mzuri kabisaπ€£π€£π€£Bichwa lako πππππ wee huoni kilivyochachamaa? Kipe pole kimeachwa kwenye mataa πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sio mtu mzuri kabisaπ€£π€£π€£Bichwa lako πππππ wee huoni kilivyochachamaa? Kipe pole kimeachwa kwenye mataa πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Kweli eeeFuata muongozo wa hawa wadada nadhani una daftari na kalamu kuandika points.
ππ π π π Ungejua ugwe nkikuru..!!!
Ndio yaani unamtesa mpaka anaenda msimulia mama yake wote wanaungana kwenye mateso. Wanaume sio wa kuwachekea hasa ukipata chansi ya kumtesaKumbe ndio zenu eee[emoji1787]
Sawa mie sijaolewa hata hivyoo, ila Siko single negative comments zipo ila Huna haya maana dhamira Yako niumle huyo dada nasio fresh hujui hata ametokea ukoo gani ila chap unaangalia chini hayo ni maisha Yako kurupuka tu utakuja kulia utanikumbuka unaweza lizwa , visa ni vingi hapa ni townPunguza stress, malaya ni wewe usietafakari ulichosoma kwanza, unakurupuka.
Kama alimzaa kwa OP mshono lazima uanze kuuma upya. Yaani ukipata chansi unamtesa mpaka aonewe huruma sio watu wa kuwachekea kabisa hawaTumbo la uzazi litikisike shenzi kabisa[emoji3][emoji3]
Malipo ni pale 6*6 siku ukinasa, utajua hujui. Lazima ukawashe feni wiki nzima mixer panadoπ€£Kama alimzaa kwa mshono lazima uanze kuuma upya. Yaani ukipata chansi unamtesa mpaka aonewe huruma sio watu wa kuwachekea kabisa hawa
Halafu mkuu mbona mwandiko wako unafanana na wa Melki the Storyteller je ni ndugu au ni ID pacha wake?Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.
Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamaniβ¦
Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. [emoji29]
Siku hiyo nilikuwa safari mkuu, Ila nitatafuta desa nisomeπHayo ni madhara ya kutohudhuria vikao mbona tuliliongelea hili swala siku nyingi tuu
Yule mshenzi hata Mimi namdai na I'd yake ya roseππHalafu mkuu mbona mwandiko wako unafanana na wa Melki the Storyteller je ni ndugu au ni ID pacha wake?
Pole sana.Sawa mie sijaolewa hata hivyoo, ila Siko single negative comments zipo ila Huna haya maana dhamira Yako niumle huyo dada nasio fresh hujui hata ametokea ukoo gani ila chap unaangalia chini hayo ni maisha Yako kurupuka tu utakuja kulia utanikumbuka unaweza lizwa , visa ni vingi hapa ni town
Kawaida tu, ningekuwa nataka kuomba mchezo sishindwi but sipo interested tu, mi outing zangu atanipa mzigo mwenyewe tu, na hakuna kitu kizuri kama mwanamke aamue kukubariki mwenyewe, anakupa yoteπHuyo anahudumia mizigo mitano mpaka mbugano huko hata kuomba ameshindwa anataka mpaka wamuonee huruma, hapana kwa kweliπ π
Tumeumbwa mateso banaa..!! We songa nalo mdogo mdogo tu..!! Kukataa na kujidai hawataki ndivyo walivyoumbwa..!! Kwani unadhani wao hawanaga UPWIRU..??Tukio bado Jipyaaaaaaaa, Acha kwanza nisahauππ
Unafikiri kila mwanamke anababaika na vi chipsi chipsi na vikuku, π, kuna pisi zinajielewa brother na zipo vizuri, nilimkuta dada mmoja anakunywa heineken counter nikamuagizia chupa mbili ile kishkaji tu, yule dada aliniagizia sixer ya Budweiser tukapiga story mbili tatu akaniaga anatoka kuangalia nje kupitia vioo naona v8 ina LED angavu sana inapiga reverse, kijana wangu kaa kwa kutulia, si kila mwanamke utamla kisa pombe na vinyama.πNani alikwambia unipe namba???
Ungekula kwa baba yako tu
Ewaaa hatutakiwi kuwachekea kabisaKama alimzaa kwa OP mshono lazima uanze kuuma upya. Yaani ukipata chansi unamtesa mpaka aonewe huruma sio watu wa kuwachekea kabisa hawa
Hivi unadhani atawahi kukupa zigo nope do you know why ???? Anajua Huna lengo naye naumeshamuonyesha ukifanikisha lengo lako niite mbwaNimefahamiana nae miezi mitatu kabla, game tumekubaliana wiki kabla. Dinner nilitoa kwa upendo tu baada ya yeye kukubali kunipa show siku hiyo.
Show ilikuwepo kabla ya mimi kuamua kumtoa dinner kisha night ndio tumalize na lengo.
Uongoo hajaliwa uongooBasi hongera sana kwa kuchagua jina 'MBWA' maana kaliwa wiki iliyopita tu hapo jumanne usiku.
Subiri mtobolewe utumbo tu πEwaaa hatutakiwi kuwachekea kabisa
AiseeUongoo hajaliwa uongoo