Bongo usanii mwingi

@dronedrake
 
Reactions: 511

kudadek hiyo ni dhuluma na unyanyasaji
pole mkuu
 
Reactions: 511
ila mkuu , unatumia nguvu sana. mabomu ya nyuklia kuua nzi
 
Reactions: 511
Kwanini usimpe pamba akalete kama kweli yuko period?
 
Reactions: 511
Subiri ukue, utajua muongozo mzima. Kumtoa mwanamke out, isiwe sababu ya kwenda kulala naye. Mnaweza toka out hata miezi, nyie ilikuwa ya ngapi hiyo? Kama ni mara ya kwanza, alishtuka akajua akizubaa yeye ndiyo atakuwa hiyo dinner.
Wanawake bana, mwanaume huyu unampa masharti akutoe out Ya dinner mara mia 8 themanini ili akupate, wakati mwanaume mwingine unaenda kumfuata ghetto kwake bure na kumpa papuchi Bantu Lady
 
Tatizo lenu wanawake ni kuwa wakati wewe unanipa masharti ya kuwa nikutoe out dinner mara elf 20 ili nikupate kwa gia ya tufahamiane, kumbe kuna mwanaume mwenzangu hajawahi kuKutoa out, hajawahi kukupa hata senti, unampelekea papuchi ya bure ghetto kwake kirahisi.. tecknologia23
 
Wanawake bana, mwanaume huyu unampa masharti akutoe out Ya dinner mara mia 8 themanini ili akupate, wakati mwanaume mwingine unaenda kumfuata ghetto kwake bure na kumpa papuchi Bantu Lady
Balqior 🤣🤣🤣🤣 hapana hiyo ni tabia ya mtu tu. Sasa wewe ndiyo unatakiwa uchange karata zako vizuri, kuchagua aliyetulia.
Ukimpata wa hivyo, kosa ni uchaguzi wako mbaya.
 
Tena unakuta huyo anayepelekewa huko ghetto kirahisi ndio hata hampendi anamchezea tu, au wakati mwingine anampiga na kumpiga kabisa lakini mwanamke ndio kafa kaoza, halafu kuna wewe huku unaye play gentleman ila bado unaambulia manyoya tu [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…