Ndio maana nilimpeleka mpaka kwake salama, ingawa alinitapeli.π€π€π€π€π€. Acha hizo tabia ...fanya kama ulitoa sadaka tuu
dhuruma ππππNi kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.
Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamaniβ¦
Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. π
Kumbeeee, mi nikajua mpaka nimhesabie. Mbona hizo tumetumia wote mkuuwe unasema hujampa ila wahuni tunahesabu umempa.
Kabisa kabisa, yaani inauma mnoooπdhuruma ππππ
No pain no gainππͺWiki moja tuu ndio unakuja kulia kulia huku! Wenzenu tulikuwa tunasota miezi na hatukati tamaa. Inaelekea umekuwa unamghasi ndio maana akatoa ahadi. Wewe endelea kutoa huduma bila kuzungumzia uzinduzi. Utashangaa siku moja unapewa bila hata kutarajia maana atahisi unapata hiyo huduma kwengine au iko siku utaondoka wakati nae amezoea dina na klabu.
Amandla...
Ndio hivyo. Jifanye mjinga mjinga, utafaidika baadae.No pain no gainππͺ
hahah sawa. Sasa unalalamika nini?Kumbeeee, mi nikajua mpaka nimhesabie. Mbona hizo tumetumia wote mkuu
Pole sana jombaa, waache utapeli kwa kweli. Kwani akisema ukweli kuwa anakuja ila yuko p kuna shida ganiπ wanapenda kuleta usumbufu tu bila sababuNilishaletewa scenario kama hiyo na demu mmoja wa kiarusha ana shepu Dar mpk Moro. Imepita kama wiki mbili za ahadi siku anakuja Nimejikoki huduma kama zote kufika geto anasema habar za MP aisee sikupata usingizi Ile siku Kmmke saraphina popote ulipo[emoji23].
Atajua hajui siku hiyoNdio hivyo. Jifanye mjinga mjinga, utafaidika baadae.
Amandla...
Kutapeliwa papuchi sio hela, angesema tuahirishe hiyo hela ningetumia na mwenzake πhahah sawa. Sasa unalalamika nini?
We jamaa akili ipo sawa kweli?Kutapeliwa papuchi sio hela, angesema tuahirishe hiyo hela ningetumia na mwenzake π
Uma maana gani etiπWe jamaa akili ipo sawa kweli?
Ndio mkuuUzinduzi wa Penzi
Mbona unapenda sana nongo kijanaNdio maana nilimpeleka mpaka kwake salama, ingawa alinitapeli.
Next time kuwa muwazi from the very beginning. Mwambie tukimaliza uzinduzi unaenda kula mti.Ndio mkuu
Unaniona tu lakiniπMbona unapenda sana nongo kijana
Ujanja ujanja mwingi sungura...Unaniona tu lakiniπ
Yaani hiyo siku ilikuwa ya kula mti na aliipanga yeye kabisa, alikuwa anajua kabisa, nikajifanya gentlemen nikamtoa na dina ili a enjoy kumbe alikuwa na jaa tuπNext time kuwa muwazi from the very beginning. Mwambie tukimaliza uzinduzi unaenda kula mti.