- Thread starter
- #101
Yes I'm rabbit ila sio kwa utapeli ule 😂Ujanja ujanja mwingi sungura...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes I'm rabbit ila sio kwa utapeli ule 😂Ujanja ujanja mwingi sungura...
Lakini hapo ulipigwa ungepima hata oil uhakikishe kama kweli kuna damu sio unaambiwa tu unakubali sometimes mdada anataka athibitishe wewe ni kidume cha Dar au vpMwamba mimi sio ngosha[emoji28]
Kwani ngosha hapiti mlango huo??
Nitafanya dhambi zote ila ya mlango wa uani hapana kwa kweli, papuchi inatosha sana. [emoji28]
Alikuwa anaonekanaje,kama ni mapepe ulitakiwa unamlenga kwanza ndio unaenda kumlisha vyakulaYaani hiyo siku ilikuwa ya kula mti na aliipanga yeye kabisa, alikuwa anajua kabisa, nikajifanya gentlemen nikamtoa na dina ili a enjoy kumbe alikuwa na jaa tu😓
Ndege mjanja kanasa kwenye......Yes I'm rabbit ila sio kwa utapeli ule 😂
Sikutaka kum force, nilimpeleka kwake nikavuta mwingine chapu. Sema aliniudhi kunitapeli ila kuhusu papuchi sikuumia kuikosa.Lakini hapo ulipigwa ungepima hata oil uhakikishe kama kweli kuna damu sio unaambiwa tu unakubali sometimes mdada anataka athibitishe wewe ni kidume cha Dar au vp
Hapo sasa Sitarudia kosa tena, kimwonekano ni mpole sana, tena akiongeza nahisi unamuonea kumbeee😢Alikuwa anaonekanaje,kama ni mapepe ulitakiwa unamlenga kwanza ndio unaenda kumlisha vyakula
Kumbuka UTU ni wa muhimu kuliko pesa! Saa nyingine unashukuru kwa kilichotokea huwezi jua Mungu kakuepusha na nini...!Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.
Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…
Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Huyu ninae.
hahahahaHuyu ninae.
Hehhee nashangaa zangu naona thread starter ni we we ,Wewe nani kakuita jamani🤣🤣🤣
Huioni au umefumba macho😅😂😂😂😂😂
Sasa hapo dhuluma iko wapi jamani!! Hebu kuweni serious!
Kabisa mkuu ndio maana nikamrudisha kwake salama kabisa bila neno.Kumbuka UTU ni wa muhimu kuliko pesa! Saa nyingine unashukuru kwa kilichotokea huwezi jua Mungu kakuepusha na nini...!
Kuna Rose Wana-tabia za utapeli.Mpaka arudishe miamala sio😅
Mlishe midagaa mibichi 😂Huyu ninae.
😂😂😂 hapo Hamna dhuluma na mdada katumia muda wake , wameenjoy kampa company😂😂😂😂😂
Sasa hapo dhuluma iko wapi jamani!! Hebu kuweni serious!
Mie siuoni mkuu.Huioni au umefumba macho😅
We uliponiacha jana nikapigwa tukio si poa😂Hehhee nashangaa zangu naona thread starter ni we we ,
Mda Leo 😂😂😂