Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Mwamba mimi sio ngosha[emoji28]
Kwani ngosha hapiti mlango huo??

Nitafanya dhambi zote ila ya mlango wa uani hapana kwa kweli, papuchi inatosha sana. [emoji28]
Lakini hapo ulipigwa ungepima hata oil uhakikishe kama kweli kuna damu sio unaambiwa tu unakubali sometimes mdada anataka athibitishe wewe ni kidume cha Dar au vp
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Yaani hiyo siku ilikuwa ya kula mti na aliipanga yeye kabisa, alikuwa anajua kabisa, nikajifanya gentlemen nikamtoa na dina ili a enjoy kumbe alikuwa na jaa tu😓
Alikuwa anaonekanaje,kama ni mapepe ulitakiwa unamlenga kwanza ndio unaenda kumlisha vyakula
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Lakini hapo ulipigwa ungepima hata oil uhakikishe kama kweli kuna damu sio unaambiwa tu unakubali sometimes mdada anataka athibitishe wewe ni kidume cha Dar au vp
Sikutaka kum force, nilimpeleka kwake nikavuta mwingine chapu. Sema aliniudhi kunitapeli ila kuhusu papuchi sikuumia kuikosa.
 
Alikuwa anaonekanaje,kama ni mapepe ulitakiwa unamlenga kwanza ndio unaenda kumlisha vyakula
Hapo sasa Sitarudia kosa tena, kimwonekano ni mpole sana, tena akiongeza nahisi unamuonea kumbeee😢

Kumbe kuna wa kula kwanza ndipo tutoke na wengine tutoke Kwanza ndipo tule. 👍
 
Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Kumbuka UTU ni wa muhimu kuliko pesa! Saa nyingine unashukuru kwa kilichotokea huwezi jua Mungu kakuepusha na nini...!
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Kumbuka UTU ni wa muhimu kuliko pesa! Saa nyingine unashukuru kwa kilichotokea huwezi jua Mungu kakuepusha na nini...!
Kabisa mkuu ndio maana nikamrudisha kwake salama kabisa bila neno.
 
Back
Top Bottom