Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
dhuruma 😂😂😂🙏
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Wiki moja tuu ndio unakuja kulia kulia huku! Wenzenu tulikuwa tunasota miezi na hatukati tamaa. Inaelekea umekuwa unamghasi ndio maana akatoa ahadi. Wewe endelea kutoa huduma bila kuzungumzia uzinduzi. Utashangaa siku moja unapewa bila hata kutarajia maana atahisi unapata hiyo huduma kwengine au iko siku utaondoka wakati nae amezoea dina na klabu.

Amandla...
No pain no gain😂💪
 
Nilishaletewa scenario kama hiyo na demu mmoja wa kiarusha ana shepu Dar mpk Moro. Imepita kama wiki mbili za ahadi siku anakuja Nimejikoki huduma kama zote kufika geto anasema habar za MP aisee sikupata usingizi Ile siku Kmmke saraphina popote ulipo[emoji23].
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Nilishaletewa scenario kama hiyo na demu mmoja wa kiarusha ana shepu Dar mpk Moro. Imepita kama wiki mbili za ahadi siku anakuja Nimejikoki huduma kama zote kufika geto anasema habar za MP aisee sikupata usingizi Ile siku Kmmke saraphina popote ulipo[emoji23].
Pole sana jombaa, waache utapeli kwa kweli. Kwani akisema ukweli kuwa anakuja ila yuko p kuna shida gani😅 wanapenda kuleta usumbufu tu bila sababu
 
Next time kuwa muwazi from the very beginning. Mwambie tukimaliza uzinduzi unaenda kula mti.
Yaani hiyo siku ilikuwa ya kula mti na aliipanga yeye kabisa, alikuwa anajua kabisa, nikajifanya gentlemen nikamtoa na dina ili a enjoy kumbe alikuwa na jaa tu😓
 
Back
Top Bottom