Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea buree
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Mbona umeongea Kwa hisiaa sana😂😂
 
Mkuu mimi sigeuzi samaki Hakika, kama ni ushamba nakubali😂
Wewe kukataa kuto-kumgeuza! HAIMAANISHI KUWA HAGEUZWI!!!

....huyo alikuwa anakutega...inaonyesha ndio michezo yake hiyo...alishindwa tu kumwambia....

Wabobezi tunateleza tu... Ikizama tu anatulia mwenyewe...na ku enjoy the moment!
 
Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea buree
Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. [emoji29]
Pepo ngumu
 
Mpaka waache utapeli😅
Amekutapeli vipi? Wewe umesema ulikuwa uzinduzi wa mapenzi yenu ambayo inamaanisha mapenzi yenu ni endelevu. Period ikiisha mtazindua unavyotaka. Inaelekea mpango wako ulikuwa wa one night stand. Angekuambia mapema hali ilivyo usingemfanyia ulivyomfanyia. Ulikukuwa unanunua tu unachokitaka.
Endelea tu kumtoa out. Atakuheshimu zaidi kwa kuwa muelewa.

Amandla...
 
Usidhani kila mtu atakuwa na moyo kama wako. Utaishia kuvunjika moyo kutegemea kutendewa wema kama unavyowatendea wengine.
Sina moyo huo mkuu, ngoja siku yake ifike nitaleta ushuhuda hapa hutaamini😢
 
Wewe kukataa kuto-kumgeuza haimaanishi kuwa hageuzwi!.....huyo alikuwa anakutega...inaonyesha ndio michezo yake hiyo...alishindwa tu kumwambia....

Wabobezi tunateleza tu... Ikizama tu anatulia mwenyewe...na ku enjoy the moment!
Ewaa hapo umesema, hebu niwakilishe mkuu, na siku nikipata mwingine wa hivyo nakucheki chap😅 undugu ni kusaidiana
 
We hujui tu mkuu, unaahidiwa papuchi wiki nzima kisha inayeyuka😅
Wiki moja tuu ndio unakuja kulia kulia huku! Wenzenu tulikuwa tunasota miezi na hatukati tamaa. Inaelekea umekuwa unamghasi ndio maana akatoa ahadi. Wewe endelea kutoa huduma bila kuzungumzia uzinduzi. Utashangaa siku moja unapewa bila hata kutarajia maana atahisi unapata hiyo huduma kwengine au iko siku utaondoka wakati nae amezoea dina na klabu.

Amandla...
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom