Bongo usanii mwingi

Bongo usanii mwingi

Ni kweli nimekuelewa, ukanipa namba. Tumekubaliana weekend tupate dinner pamoja na uzinduzi wa mpenzi letu.

Siku husika ikafika, nikakucheki ukasema uko fresh, nimekupeleka dinner umekula sana vipaja vya kuku na chips yai, halafu nimekupeleka bar ukanywa sana tu, tukatoka hapo nikakupeleka club, Masaa yote hayo hukumbuki kuniambia upo period hadi mda wa kwenda kulala ndio beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani…

Hapo ndio unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea bure.

Ndio maana baadhi ya mabinti wa kibongo hampati maendeleo sababu ya dhuruma. 😓
Mamdogo Amehlo, dada To yeye, shemela Evelyn Salt na mshikaji wangu Bantu Lady mnaitwa huku kuna hoja inahitaji maelezo au majibu yenu..!!
 
Sasa mdomo na k vinahusiana nini kwani kinachokula na kunywa ni k ama mdomo jamani

Yani mtu aanze kukuambia habari za k wakati wa kula na kunywa kwani hiyo ni kazi ya hicho kiungo

Yeye alikula na kunywa sababu kiungo kilichohusika na hiyo kazi hakina tatizo, sasa ilipofika kwenye kazi ambayo k ilihitajika, ndio akakuambia hicho kiungo hakipo sawa kina mushkeli
 
Sasa mdomo na k vinahusiana nini kwani kinachokula na kunywa ni k au mdomo jamani

Yani mtu aanze kukuambia habari za k wakati wa kula na kunywa kwani hiyo ni kazi ya hiko kiungo

Yeye alikula na kunywa sababu kiungo kilichohusika na hiyo kazi hakina tatizo, sasa ilipofika kwenye kazi ambayo k ilihitajika, ndio akakuambia hiko kiungo hakipo sawa kina mushkeli kidogo
Mbona kama ni wewe kabisa🤣🤣
 
Huu mwingine ushamba tu, yani siku ya kwanza tu ukalale nae kisa umenunua kuku pombe.
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Sasa mdomo na k vinahusiana nini kwani kinachokula na kunywa ni k ama mdomo jamani

Yani mtu aanze kukuambia habari za k wakati wa kula na kunywa kwani hiyo ni kazi ya hicho kiungo

Yeye alikula na kunywa sababu kiungo kilichohusika na hiyo kazi hakina tatizo, sasa ilipofika kwenye kazi ambayo k ilihitajika, ndio akakuambia hicho kiungo hakipo sawa kina mushkeli
leo hujajipanga umeandika utopolo 😂
 
Back
Top Bottom