Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲"

Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana.
Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria sasahivi.

Nimemiss hata miaka ya 2016-2021 mmoja wapo ujirudie niishi kwa furaha. Kipindi hicho nilikuwa nafurahi sana kuwa Mtanzania. Sikuhizi ni huzuni tupu, dah, Tanzania 🥲
 
Ile sheria ya usalama wa taifa kwa upende flan ni hatari pale wakubwa wakishinikiza matakwa yao ama ya siasa. ile isemayo kuwa ''hawatawajibika kwa lolote wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao [waliotumwa]''
Utapotezwa na jamaa polis wasijue la kufanya..
Fikilia rais hashitakiwi hata akisingizia wanaoandamana ni magaidi!, na anawatuma hawaguswi kwa lolote.
 
Amechoka kuishi Bongo?

Haoni kama anaamsha taharuki maana kwa ccm kusema hivyo ni sawa na unataka kuandamana.
 
Ile sheria ya usalama wa taifa kwa upende flan ni hatari pale wakubwa wakishinikiza matakwa yao ama ya sissa. ile isemayo kuwa ''hawatawajibika kwa lolote wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao [waliotumwa]''
Utapotezwa na jamaa polis wasijue la kufanya..
Katiba mbovu inayotetea wahalifu
 
Back
Top Bottom