Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kutoka mtandaoni bongo zozo amepost video ya pole pole aliyetekwa na watu watu wanaozaniwa ni polisi akiandika na maneno mafupi.
"Sikukuu tukumbuke waliopotezwa.
Tukae tufikiria inakuwaje watu walivyokosa ndugu zao kwenye pilau ya sikukuu. Bila kujua hali zao. MATESO HAYO.
NAPINGA UTEKAJI MPAKA NITEKWE MIMI! Halafu nitaendelea kuupinga!"