Bongo zozo: Napinga utekaji hadi nitekwe mimi halafu nitaendelea kupinga!

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kutoka mtandaoni bongo zozo amepost video ya pole pole aliyetekwa na watu watu wanaozaniwa ni polisi akiandika na maneno mafupi.

"Sikukuu tukumbuke waliopotezwa.
Tukae tufikiria inakuwaje watu walivyokosa ndugu zao kwenye pilau ya sikukuu. Bila kujua hali zao. MATESO HAYO.

NAPINGA UTEKAJI MPAKA NITEKWE MIMI! Halafu nitaendelea kuupinga!"
 
Huyu wakimgusa mizungu itawasha moto.

Halafu nina wasiwasi sana jamaa linawezekana likawa ni jasusi
 
Achukuaye mateka atachukuliwa mateka. Jina la Bwana litukuzwe
 
Utekaji haukubaliki na mtu yeyote mwenye Ubinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…