Bongo Zozo ni nani na amefuata nini Tanzania?

Ndicho tunachoweza kwa sasa Watz.

Yani tunakopi na kupesti kila jambo linalotokea kwenye siasa tunazileta kwenye Michezo.

Hivi umesahau kqtika uchagui w TFF kuna watu "waliwekewa mapingamizi" na mwingine kupita bila kupingwa?
Aiseee ilikuwa ni balaa eti pingamizi ...huyu msenge hata mashabiki wa Simba hawamuelewag sometimes...acha amalizie mwaka wa mwisho
 
Kuna interview alisema kazaliwa Iringa
 
Ni maarufu sana huko YouTube,
Nadhani umaarufu wake umechangiwa na uwezo wake wa kuongea kiswahili vizuri , ameoa uchagani kama sikosei
 
Mwambie Manara wenu tuzo alizoshinda akiwa simba ndo hizo hizo hatakaa ashinde tena tuzo yoyote, labda ajipe yeye au mumpe nyie watopolo.
 
huyu ni ni shemeji wa taifa kamuoa dada yetu 🀣 kutoka uchagani....ingawa anapenda kujiita mnyalukolo lakin jamaa ni mzaliwa pale Norwich Town....
 
shida ikowapi ila bongo mbona tuna husda sana kwani kuna shida yoyote baada ya ku feel proud jamaa anatangaza sana nchi yetu tunaanza tena kumpinga jamaa kweli bongo kuna watu wana wivu
Sijaona mahali mtoa mada kuzungumzia kumpinga au kumuonea wivu bongo zozo.
 
Ila inashangaza tuzo ya ligi kuu msimu ulioisha sasa bongo zozo eti kamshinda masau bwire kweli au haji manara izo sio tuzo ni ulofa na kutuona wapumbavu....
Wakuu mnachanganya, ni tuzo za TFF sio ligi kuu, yeyote aliyejihusisha na soka alikuwa na nafasi ya kugombania
 
Kwani Manara na Masau ni akina nani?.
Watanzania wamezaa na wazungu wengi tu na wazungu wamezaa na Watanzania sasa shida yako ni nini?.


Mtoa tuzo ni TFF na ndiyo msimamizi wa ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…