Bongo Zozo ni nani na amefuata nini Tanzania?

Mkweo huyo, I mean shemeji yako whatever samahani wifi yako huyo mnyaru kaoa kwemu huko so ni mbongo. So, alifuata mke alifuata mapenzi Tanzania. Ukipenda boga penda na ua lake. Jamaa alipenda mke na nchi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Bongo Zozo aligombea kipengere gani ?

Hakugombea, bali alipendekezwa na kamati kwenye kipengele cha mhamasishaji bora.

Na vigezo na masharti walikuwa navyo wao/kamati wenyewe kwenye vipengele vyote na kipengele husika kumalizia uteuzi, labda tuombe kitini chao cha sifa ili kujiridhisha.
 
Bongo zozo jamaa anaonesha Ana mapenzi sana na Tanzania namfuatilia tu mtandaoni ila nilitaka kujua kwa undani wake.

Je, yeye ni nani na Ana uhusiano upi na Tanzania?

Ana Uraia wa nchi gani?

Ana nufaika nini kuonyesha mapenzi ya hali ya jua kwa Tanzania?

Ana Fanya kazi gani maana anazunguka nchi nyingi sana Duniani?

Your browser is not able to display this video.

 
Mpaka Huwa nahisi utumwa Bado upo. Isije ikawa huyu mwamba ni missionary kama wale waliikujaga enzi za utumwa πŸ™†πŸ™†πŸ™†​
 
Kizungu kimoja kichonganishi chonganishi fulani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…