JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Anasema “Nilipofikishwa Kituoni nikapewa nguo za Askari mmoja ili nijistili, wakati nakamatwa Watu waliokuwa pembeni walitishiwa na waliojaribu kurekodi walinyang’anywa simu.”
Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024.
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesema ametoa ofay a kuwlaipia faini wafungwa 10 waliopo katika Gereza la Segerea ili waachiwe huru.
Amesema hayo baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Oktoba 7, 2024.
Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024
Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu