Pre GE2025 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

Pre GE2025 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Purukushani jama hizo watoto mayai kama Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na Suphian Juma kamwe hawaziwezi. Wao wanachoweza ni kucheza tu taarab, kwenye sherehe za UWT.
for sure siwezi kukaidi kutii wala kufanya kuburi katika kutii sheria za nchi,

mimi si muhalifu, yanini kujaribu kutoroka polisi eti kabisa unataka kuingia chini ya uvungu wa IST na huku ukijua kabisa una tumbo kubwa, na kwamba hilo zoezi haliwezekani? :pedroP:
 
Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa na purukushani kubwa kiasi cha yeye kuchaniwa nguo zake akibaki na ‘boksa’ tu.

Anasema “Nilipofikishwa Kituoni nikapewa nguo za Askari mmoja ili nijistili, wakati nakamatwa Watu waliokuwa pembeni walitishiwa na waliojaribu kurekodi walinyang’anywa simu.”

Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024.


BONI YAI: NIMETOA OFA KWA BWANA JELA, KULIPIA FAINI WAFUNGWA 10
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesema ametoa ofay a kuwlaipia faini wafungwa 10 waliopo katika Gereza la Segerea ili waachiwe huru.

Amesema hayo baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Oktoba 7, 2024.

Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024

Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
MBONA video zake siku anakamatwa nyumbani kwake zilisambaa na tuliziona alivaa suruali?
 
Wote walioshangilia kifo cha Magufuli watafikiwa kila mmoja kwa muda wake. Mbowe yu hoi South Africa
Mbowe yuko kijijini kwao huko na lema wakijaindaa na uchaguzi wa serikali za mitaa ww ch*ko umekaa kicho** jf ukiona upinzani threat mat***o yako Jiwe kufa watu wengi wakishangilia manake yy na baadhi ya aliowateua alifurah watu wakifanyiwa ubaya rejea kauli yake "wakiwa bungeni washughulikiwe iki wakitoka waje huku niwashughulikie" siku anapokea ripoti ya makinikia alismea huwez kua mnafiki afu ukasavaivu jamaa alikua akijiamini mnookuona wengine hawafai kuishi moto umwakie huko alipo moja ya rais hipeless kuwah tokea
 
Back
Top Bottom