Pre GE2025 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matokeo yake wanaishia kupakwa mafuta kwa kutaka umaarufu kama yule msanii wao.
bcb96ad1-9609-4f97-bd64-30dc5805e904.jpeg
 
Hii ni KASHIFA nzito kwa kama wangu MURIRO na wenzako wote mkoa wa Daresalaam

Tunataka kujua kama ni kweli kwa Nini polisi mlimvua nguo Boni yai akabakia uchi?
Mlikuwa na LENGO Gani?
Je ni kweli BONI YAI aliwapelekea moto baadhi ya polisi nao nguo zilichanika?tunae polisi KINONDONI anachapwa na raia?😃🤣😂😅
 
Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa na purukushani kubwa kiasi cha yeye kuchaniwa nguo zake akibaki na ‘boksa’ tu.

Anasema “Nilipofikishwa Kituoni nikapewa nguo za Askari mmoja ili nijistili, wakati nakamatwa Watu waliokuwa pembeni walitishiwa na waliojaribu kurekodi walinyang’anywa simu.”

Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024.

BONI YAI: NIMETOA OFA KWA BWANA JELA, KULIPIA FAINI WAFUNGWA 10
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesema ametoa ofay a kuwlaipia faini wafungwa 10 waliopo katika Gereza la Segerea ili waachiwe huru.

Amesema hayo baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Oktoba 7, 2024.

Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024

Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Wwalitaka kumuua huyu mwamba....kama kweli alikuwa na kesi angeitwa tu kituoni kama anavyoitagwa mara kibao
 
kituo cha polisi kuna P DIDY siku hizi, pole yake watakuwa wamempakata sana.
 
Back
Top Bottom