Pre GE2025 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

Pre GE2025 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa na purukushani kubwa kiasi cha yeye kuchaniwa nguo zake akibaki na ‘boksa’ tu.

Anasema “Nilipofikishwa Kituoni nikapewa nguo za Askari mmoja ili nijistili, wakati nakamatwa Watu waliokuwa pembeni walitishiwa na waliojaribu kurekodi walinyang’anywa simu.”

Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024.

BONI YAI: NIMETOA OFA KWA BWANA JELA, KULIPIA FAINI WAFUNGWA 10
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesema ametoa ofay a kuwlaipia faini wafungwa 10 waliopo katika Gereza la Segerea ili waachiwe huru.

Amesema hayo baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Oktoba 7, 2024.

Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji 'taarifa za uwongo' kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024

Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
🤣🤣🤣🙏🙏🙏
 
Kuna watu naoongea nao wanaomjua Boni Yai kuwa ni kawaida yake akiwa sehemu za starehe akiona wanaune huwa anavua nguo zotevnanabaki uchi anavua hadi chupi sijui ili iweje au anataka nini au ni mtu wa upinde?

Sasa polisi kweli wa kiume walienda sehemu ya starehe alikuwa kumkamata wakaona ghafla anataka kuvua nguo zote ikiwemo chupi polisi wale wa kiume wakapambana apande defender walau akiwa na chupi lakini alikuwa mkali kama pilipili alipoona askari wa kiume akipagawa ba mashetani ya upinde polisi wa kiume wakamdhibiti

Hongera polisi kupambana na mtu wa upinde kuhakikisha walau anafika polisi na chupi

Kile alichotaka kwa polisi wa kiume hakikufanikiwa aliishia tu kuvua nguo zote polisi wakadhibidi asivue chupi
 
Haichekeshi.
 
Yeye kapigana na wao walikuwa wengi na silaha. Kama huamini ungewaambia wamfuate mmoja mmoja bila silaha, kisha ndio ungejua tulivyo na askari mafisi.
Muhusika ushahidi anaoutoa ni kubaki na boksa tu hayo mengine ni yako
 
Back
Top Bottom