Pre GE2025 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Purukushani jama hizo watoto mayai kama Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na Suphian Juma kamwe hawaziwezi. Wao wanachoweza ni kucheza tu taarab, kwenye sherehe za UWT.
for sure siwezi kukaidi kutii wala kufanya kuburi katika kutii sheria za nchi,

mimi si muhalifu, yanini kujaribu kutoroka polisi eti kabisa unataka kuingia chini ya uvungu wa IST na huku ukijua kabisa una tumbo kubwa, na kwamba hilo zoezi haliwezekani?
 
MBONA video zake siku anakamatwa nyumbani kwake zilisambaa na tuliziona alivaa suruali?
 
Wote walioshangilia kifo cha Magufuli watafikiwa kila mmoja kwa muda wake. Mbowe yu hoi South Africa
Mbowe yuko kijijini kwao huko na lema wakijaindaa na uchaguzi wa serikali za mitaa ww ch*ko umekaa kicho** jf ukiona upinzani threat mat***o yako Jiwe kufa watu wengi wakishangilia manake yy na baadhi ya aliowateua alifurah watu wakifanyiwa ubaya rejea kauli yake "wakiwa bungeni washughulikiwe iki wakitoka waje huku niwashughulikie" siku anapokea ripoti ya makinikia alismea huwez kua mnafiki afu ukasavaivu jamaa alikua akijiamini mnookuona wengine hawafai kuishi moto umwakie huko alipo moja ya rais hipeless kuwah tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…