Boni Yai yupo na hali gani ?

Boni Yai yupo na hali gani ?

Boni Yai Nyamidevu yupo na hali gani ? Maana mwanzo nilikuwa namkubali kweli
Acheni utoto. Yaani mlitaka wote wamuunge mkono Lisu? Kwanini kuanza kuwakejeli waliokuwa upande mwingine. Narudia tena kusema kama Lisu ataendekeza mitandao kisha aendeleze chuki kwa waliokuwa upande wabowe au waliompinga hatafika mbali na chama. Awalete watu pamoja na sio nyie JF kuendeleza chuki na uhasama
 
Hana jipya huko X wanajipigia yeye na wenzie 😹
 
Attachments

  • IMG_4266.jpeg
    IMG_4266.jpeg
    42 KB · Views: 3
Uyu namtetea alisoma upepo mapema ,akaacha kamdomo, ndio alikua Team FAM ,hope rafiki yake Martine Maranja alimsihii apunguze kamdomo ,na afanye harakati kimia kimia .
Oooooh ndio maana kuna kipindi alikuwa mpole.
 
Hata hvyo mbowe kawashauri viongozi wapya waweke maridhiano ikibid wasamehewe wote waliokuwa wanaongea ongea na kuandika mbovu mbovu
 
Acheni utoto. Yaani mlitaka wote wamuunge mkono Lisu? Kwanini kuanza kuwakejeli waliokuwa upande mwingine. Narudia tena kusema kama Lisu ataendekeza mitandao kisha aendeleze chuki kwa waliokuwa upande wabowe au waliompinga hatafika mbali na chama. Awalete watu pamoja na sio nyie JF kuendeleza chuki na uhasama
Kwa hiyo wewe utaki wenzako waende kwenye raha unataka waende kwenye moto.
 
Back
Top Bottom