Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

Jeshi lipi we mgalatia
 
Ajiandae kutokea mahakamani j3.....kumkomoa alale na mafiiii selo
 
Ajiandae kutokea mahakamani j3.....kumkomoa alale na mafiiii selo
Tunaomba hadi tunalia ili Boniyai apelekwe Mahakamani , Muliro atahojiwa na Kibatala , huo ndio utakuwa mwisho wake kuuza sura kwenye mechi za Simba na Yanga
 
Alivyo na mwili wa kizembekizembe hivyo akipelekwa mahabusu si anaenda kuwa chakula
 
Nchi hii kama kuna laana tuliyonayo ni uwepo wa ccm.
 
Unakwabwa uliyeileta twaweza hawapo hapa!

Watu watakufa, viongozi wataondoka, lakini yafiti za kitaalam kama zile za TWAWEZA zitadumu na kufanyiwa rejea kwa miaka mingi.
 
Ila watanzania uchama umetupofusha Sana. Kisa Jacob watu wanaponda ukweli wa Jambo lenyewe, kwamba polisi wanahusika na kifo Cha huyo raia.

Ni majitu majinga, na mashetani ndiyo yanaona vitendo vya polisi kuwaua watu ni sahihi.

Haya majitu siku moja ndugu zao wauawe na polisi, ndiyo yataijiwa na akili.

Majaliwa alielewa uharamia wa polisi baada ya ndugu kuporwa pesa zake na polis, na kisha kuuawa.
 
Ila mwambie boniface apunguze mwili aache kufanya mizaha kwenye afya…
 
Nchi hii kama kuna laana tuliyonayo ni uwepo wa ccm.

CCM.ni wakala wa shetani, ndiyo maana matendo ya watu wake wengi yamejaa ushetani mtupu.

Uchaguzi unakaribia. Utawaona wanavyomiminika kuelekea Kigoma na maeneo mengine kwa wachawi eri kutafuta ushindi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…