You are smart by 25%.Chadema ni majitu majinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are smart by 25%.Chadema ni majitu majinga sana
Kama ulivyo weweChadema ni majitu majinga sana
Jeshi lipi we mgalatiaIpo haja, kwa yeyote mwenye malalamiko yanayohusiana na vyombo vya dola vya Kitaifa kabla ya kuandika ugoro wake mitandaoni akalazimika kwanza kwenda kwenye chombo husika kupata details sahihi, ndipo aruhusiwe kwenda kuandika ugoro wake!......
N. B, Malalamiko hasa yanayohusisha kifo /vifo.
# case closed!
°Suala hili lichukuliwe haraka sana na jeshi letu.
Tunaomba hadi tunalia ili Boniyai apelekwe Mahakamani , Muliro atahojiwa na Kibatala , huo ndio utakuwa mwisho wake kuuza sura kwenye mechi za Simba na YangaAjiandae kutokea mahakamani j3.....kumkomoa alale na mafiiii selo
mapolisi hayaaminakagi. hasa haya ya ulimwengu wa tatuUnawaamini Polisi ?
Nchi hii kama kuna laana tuliyonayo ni uwepo wa ccm.Dhana ya negativity mliyomezeshwa na viongozi wenu chadoma, ni shida, hamuwezi ona kama kuna lolote Zuri, maishani mwenu!
Ukishamezeshwa chadema pill, inaondoa ufahamu kwanza, inakupa msononeko wa moyo, inakupa ujuaji mwingi hata kama ni zezeta, inakupa uwana harakati njaa, once you take a pill, ubishi usio na maana ndipo huanzia!
Aina ya vidonge!
-chadema super argue pill drugs- 1
-chadema moderate pill, hii ni ya wastani, hiyo namba moja ndiyo hatari sana.
Hilo mume la Mama yako hilo ....!!Hilo boya linapenda sana attention.
mume la Baba yako Nyau we,Hilo mume la Mama yako hilo ....!!
Acha masihara kwenye masuala ambayo ni sensitive kama Kifo cha mtu.Chadema ni majitu majinga sana
We mjinga kabisaMbona mnawatumia kwenye jogging zenu, bc muwakatae
Upo sahihi mkuu 😂We mjinga kabisa
Unakwabwa uliyeileta twaweza hawapo hapa!
Ila watanzania uchama umetupofusha Sana. Kisa Jacob watu wanaponda ukweli wa Jambo lenyewe, kwamba polisi wanahusika na kifo Cha huyo raia.
Ila mwambie boniface apunguze mwili aache kufanya mizaha kwenye afya…Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu.
Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam (SACP) Muliro Jumanne Muliro kutaka kuacha upotoshaji mitandaoni
Pia soma
- Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?
- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi
- Utata sakata la ndugu wa Boniface Jacob: Kupotea mpaka kukutwa mochwari ya polisi, Amana wapigilia msumari!
Nchi hii kama kuna laana tuliyonayo ni uwepo wa ccm.