Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ningekua boni yai ningepumzika Sasa maana naona gharama za kufanya harakati za UPINZANI TANZANIA malipo ni mabaya mnoTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, siku yoyote atakayopelekwa.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa na ndivyo itakavyokuwa.
Soma Pia
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
😀😀😀😀 Nawapenda watu kama wewe muweka hii post.
Kivipi?!😀😀😀😀 Nawapenda watu kama wewe muweka hii post.
Unagonga nyundo kwa kuweka hiyo picha ya huyo UVCCM.Kivipi?!
😀😀😀😀 Nawapenda watu kama wewe muweka hii post.
Ni haki mtuhumiwa kupelekwa mahakamani.kwamba hiyo kiburi ndio anaona ni ya maana sana,
hata iwe namna gani, korokoroni atalala, na mahakani atakwenda vile vile bila mbambamba yoyote 🐒
😀😀😀😀 Nawapenda watu kama wewe muweka hii post.
na vile vile si Lazima akapelekwa mahakamani pia,Ni haki mtuhumiwa kupelekwa mahakamani.
Labda walimu dadaHakuna polisi mwenye nyumba kama ile, kuanzia IGP hadi konstebo.