Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani

Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, sliku yoyote atakayopelekwa.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa na ndivyo itakavyokuwa.

Soma Pia

- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
We mnamdanganya tu, mwisho wa siku atakayeumia ni yeye mwenyewe, we unakataa kutoa maelezo kama ni kosa la uhujumu uchumi ujue hapati bondi mpaka awe amekamilisha mahojiano!!
 
We mnamdanganya tu, mwisho wa siku atakayeumia ni yeye mwenyewe, we unakataa kutoa maelezo kama ni kosa la uhujumu uchumi ujue hapati bondi mpaka awe amekamilisha mahojiano!!
Mahojiano ndio huamua kujua mtu ana hatia au la au aweza kuwa shahidi au la apelekwe mahakamani au la sasa yeye kukomaa kuwa atatoa mahakamani ni mhalifu mtarajiwa huyo
 
Mahojiano ndio huamua kujua mtu ana hatia au la au aweza kuwa shahidi au la apelekwe mahakamani au la sasa yeye kukomaa kuwa atatoa mahakamani ni mhalifu mtarajiwa huyo
Kabisa anajua makosa yake ana buy time apate kauchochoro
 
Ni haki yake kiesheria polisi watampeleka mahakamani na ushahidi aende akajitetee huko
 
kwamba hiyo kiburi ndio anaona ni ya maana sana,

hata iwe namna gani, korokoroni atalala, na mahakani atakwenda vile vile bila mbambamba yoyote 🐒
Hata wewe unaweza kulala korokoroni...wakati wowote siku yoyote

Ova
 
Hivi Bony ni mnyaki pia? Spirit ya kinyaki hii.....

Mrs Besyige
Screenshot_20240919-093849.jpg

Imagine umepanga room moja mburahati au ruhanga halafu unaenda kumpekua boni anayeishi humo ndani
 
Back
Top Bottom