1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, siku yoyote atakayopelekwa.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa na ndivyo itakavyokuwa.
Soma Pia
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
Apelekwe Mahakamani.
Sio kuuawa na Wageni wasiojulikana. Kuna watu kwa sasa ndani ya vyombo vya dola na serikali wanafanya kazi kwa mihemko na hasira na chuki za kisiasa na kaudini dini ndani lakini na kamwe hawataki kufuata sheria wala Katiba ya nchi.
Kijitabu tu.
Lakini ukisema biblia au Kuran ni kijitabu tu pataibuka mgogoro na taharuki kubwa sana na vurugu .