Mnyika sina ujakika hata kama JKT alipitia angalau hata mwezi mmoja. Bora ya akina Mdee, Esther na akina Zitto , wao baada ya kuwa walikosa hiyo fursa wakati wakitoka mashuleni, wao baada ya kuwa Wabunge waliomba kwenda Ruvu JKT kupiga kwata la miezi mitatu. Ndo huo ushupavu wa dada majembe tunaouona mpaka leo kwa hawa vijana. Mnyika should have done the same kama alikosa hiyo fursa, au hata angecheza Mgambo akawa MG . Uuoga wa hadi Panya kama alivyodhihakiwa ni too much kwa kijana na kiongozi wa vuguvugu la mabadiliko kama yeye. Kule kuna shughuli pevu ati.