Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani

Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani

Ni sawa yeye akiandamana au kuanzisha vurugu analipwa na mabeberu pesa za kujenga

Je waandamaji wenu hao mbaowapeleka kichwa kichwa wanaoishia kubondwa tu virungu na polisi wana mjengo kama huo wa Boni yai?
Alaaa kumbe za MABEBERU ee?!!
Nyumbu wake watapataje akili ?!!
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, siku yoyote atakayopelekwa.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa na ndivyo itakavyokuwa.

Soma Pia

- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
Ya mahabusu ni kama hospitali kila mtu anaweza kwenda , na tusipaogope walioko huko ni binadam pia ,ametoa jibu zuri.

(
Siku mkiamua nipeleka mahakamani nitatolea majibu yangu huko)

Ndugu zangu ni vyema toa maelezo yako mahakamani kuliko toa police , naunga mkono.
Note :hii njia ya machawa wachache na majinga ambayo yapo kumuadaa rais , ili kuwa karibu au kujipendekeza ili kulinda matumbo yao , nawambieni nchi inaelekea kwenye mtetemo mkubwa ,Bwana ananiambia siku zangu 47 bado kuisha ,mtashangaa
 
Mkuu wangu unamaanisha nini juu ya hizo siku 47?
 
Hapo sasa Chadema wale wajinga wapenda kuandamana kishari pesa hawana wajifunze

Mwenzao Boni yai akifanya vurugu pesa inaingia kutoka ajuako mwenyewe anashusha mjengo wa uhakika wakati wengine wanaishia tu kutwangwa virungu ns polisi na kwenda kuuguza majeraha ya kwa gharama zao
Pia you can think this way if your brain functions properly. Mbona jamaa ana biashara na mali za kutosha lakini bado anahatarisha maisha yake kwa ajili ya wengi. Kwanini asitulie tu na familia yake wakaenjoy maisha.

Remember, only if your brain functions properly.
 
Acha utani, polisi wengi wenye vyeo hela zinawafuata kwenye magunia. Wana hela kinoma
Sijasema hawana hela, hawana Jumba kama la Bonny, Mtu Mshamba hata akiwa na hela nyumba yake ni Mgongo wa tembo, vyumba 20 choo kimoja cha shimo
 
Acha utani, polisi wengi wenye vyeo hela zinawafuata kwenye magunia. Wana hela kinoma
Usimuamshe aliye lala, hao ndiyo wale waliozani zile nyumba alizotaka nunua Dr Shika kwenye mnada ni za Lugumi kweli!!
 
Pia you can think this way if your brain functions properly. Mbona jamaa ana biashara na mali za kutosha lakini bado anahatarisha maisha yake kwa ajili ya wengi. Kwanini asitulie tu na familia yake wakaenjoy maisha.

Remember, only if your brain functions properly.
Source ya mapato yake kapatia kwenye siasa za upinzani za shari
 
Back
Top Bottom