Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kwikwikwik.....nimecheka kindezi sanaHakuna polisi mwenye nyumba kama ile, kuanzia IGP hadi konstebo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwikwikwik.....nimecheka kindezi sanaHakuna polisi mwenye nyumba kama ile, kuanzia IGP hadi konstebo.
Ni sawa yeye akiandamana au kuanzisha vurugu analipwa na mabeberu pesa za kujengaHakuna polisi mwenye nyumba kama ile, kuanzia IGP hadi konstebo.
🤣🤣Jana maafande walikua wanazungukazunguka humu ndani
Wewe akili zimo kweli? Ushahidi utakusanya bila kuita watu watoe ushahidiKosa lao kubwa polisi ni papara., Badała ya kujikita kukusanya ushahidi kwanza, wanakimbilia kuita watu.
We mnamdanganya tu, mwisho wa siku atakayeumia ni yeye mwenyewe, we unakataa kutoa maelezo kama ni kosa la uhujumu uchumi ujue hapati bondi mpaka awe amekamilisha mahojiano!!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, sliku yoyote atakayopelekwa.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa na ndivyo itakavyokuwa.
Soma Pia
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
Hakuna taifa litakaloongozwa na vichaaNiwakumbushe CCM: Chadema mnao wasumbua Leo,mkumbuke ndilo Taifa la kesho.
Mahojiano ndio huamua kujua mtu ana hatia au la au aweza kuwa shahidi au la apelekwe mahakamani au la sasa yeye kukomaa kuwa atatoa mahakamani ni mhalifu mtarajiwa huyoWe mnamdanganya tu, mwisho wa siku atakayeumia ni yeye mwenyewe, we unakataa kutoa maelezo kama ni kosa la uhujumu uchumi ujue hapati bondi mpaka awe amekamilisha mahojiano!!
Kabisa anajua makosa yake ana buy time apate kauchochoroMahojiano ndio huamua kujua mtu ana hatia au la au aweza kuwa shahidi au la apelekwe mahakamani au la sasa yeye kukomaa kuwa atatoa mahakamani ni mhalifu mtarajiwa huyo
Atarithi vyote awe makini...alikoishia mwenzake aliyejifanya staa sasa hiv kabakia mifupa tupu dadeqSasa ameamua kurithi awamu ya 5 kwa matendo
Hata wewe unaweza kulala korokoroni...wakati wowote siku yoyotekwamba hiyo kiburi ndio anaona ni ya maana sana,
hata iwe namna gani, korokoroni atalala, na mahakani atakwenda vile vile bila mbambamba yoyote 🐒
Nenda wewe kajitolee basiNani atawalisha kuku?
Ni huzuni.....View attachment 3100261
Imagine umepanga room moja mburahati au ruhanga halafu unaenda kumpekua boni anayeishi humo ndani
nhiii nkoi..sidhani kama mnyaki..mie napenda anavyojiamini...kudadadeki
Ni mnyakyusa, always watu waliofanikiwa ni watu wanaojiamini wasio waoganhiii nkoi..sidhani kama mnyaki..mie napenda anavyojiamini...kudadadeki
Na haja wahi kukamatwa au hata kuitwa kituo kidogo cha polic..?
Mbona wanasema Chadema ni Chama cha Wachaga, kumbe kuna makabila mengine!