Aibu Yao wenyewe,ccm imeishiwa pumzi.Sema tu wanalindwa na Kenge wenye njaa ambao wao wanatetea ajira zao.Wanasahau kuwa,ajira zao ni za kudumu,ila nyadhifa za kisiasa sio za kudumu.
Wanashindwa kujielewa vyombo vyao Dola kuwa.
Vinatakiwa Kila raia afuate akatiba.Maana hata Rais ni raia ambaye amepewa kuwaongoza raia wenzake kwa kufuata kanuni na taratibu.
Ifikie vyombo vya Dola vijitafakari.
Askari unapewa oda na mwanachama wa chama cha siasa nawe kama nyumbu unafata.
Nafasi za kisiasa waachwe wanasiasa wanyukane wenyewe kwa wenyewe maneno sarakasi.
Maana ndo kazi aliyoichagua.
Kazi ya misuguano hekaheka za sera.
Sio busara kutumia Silaha au washika Silaha katika mambo ambayo uliyaomba kwenye hadhara.
Vyombo vya Dola acheni uzwazwa takataka nyie.
Kumbukeni Kuna kuishi,kuzeeka na kufa.
Kamwangalieni Mseven au Kagameπ«£π«£π«£
Wameshakuwa jua la jiooooooooooni.
Ubabe wa nn,kwenye mambo yaliyo hadhalani.
Hutaki kukosolewa,basi acha siasa,kafanye kazi za kitaaluma.