Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

Haya sasa mko humu kuongelea Nondo. Hivi hamuoni huu ni mchezo. Atekwe kwa lipi?

Mbona mnakuwa wazito kujumlisha na kutoa hii hesabu. Mnaacha kumuongelea Soka na Mdude mnamuwazia sijui nondo.

Hii ni daganganya toto Nanyi mmeingia box. Upinzani bongo ni sarakasi mweh

Aicitii na sisiem na sisiem ni aicitii.

Uongozi wa chama cha pande ile kurukia habari bila kuichambua. Kuna watu wanakula mkwanja kuigiza. Haya Sasa mmeambiwa kaokotwa kapele kwa ofwisi.
 
eti hajiwezi kwa lolote huku akiongea kwa shida, dah!!

sasa hii su chumvi kabisa ya magadi mchana kweupe 🐒
 
ITV wametangaza Nondo ametekwa. Wewe unasema atekwe kwa lipi? Kuna watu wamefuga makas kichwan
Kama utekaji unaruhusiwa katika hii nchi basi nami nakusanya detail zako nije nikuteke ukanichumie kisamvu
Kama mtu amevunja sheria kuna utaratibu wa kumkamata mtu na siyo kutekana.
Ni muhimu watu wamiliki bastola hata SMG ili tujilinde dhidi ya watekaji.
Unazeeka vibaya kama FaizaFoxy
 
Saa nyingine unakuta mganga wao anawaambia tunataka damu ya fulani,au muntese fulani ndio majini yatafurahi.Hawa watu wanaotegemea hivi vitu vya kipuuzi wanafanya mengi yasiyoeleweka.Ee Mungu tusaidie
 
Inasikitisha sana ,sasa wamepata faida gani? Wamemuua kibao ,wamemuua Ben saanane then?? Uchafuzi wanajipakulia minyama wao ,sasa si bora tu waendelee kufanya uchafuzi huku wananchi wakibaki salama?
Halafu anatokea mwehu mmoja anataka kifo cha Dr Ngungulile aliyefia ushuani huko kiombolezwe na makabwela...manina wallah
 
Mkuu karibu chama la wana,nakutunuku nishani ya afisa makasiriko msaidizi wa Jf. Idara ya wasiopenda upuuzi. Jambo baya likimfika mwanamwema mwenye mawazo mbadala kwenye mustakhabali wa uongozi wa nchi linashabikiwa na wana ccm....wasichokijua ni kwamba hili ombwe likiishamaliza walioko mstari wa mbele kukosoa,litawarudia chawa wake ambao siku zote walikua wapiga zumari na hapo ndipo kitakuwapo kilio kikuu kishiriki.
 

Hata Ally Kibao alipotekwa mlisema maneno haya. Ila kesho yake alipokutwa aneuawa mkakaa kimya. Acheni kujifanya wajuwaji wakati watu wanatekwa. Baada ya kulaumu serikali wewe unalaumu wanaotekwa.
 
Lakini Mchinjita anasema ameokotwa coco beach, mbna mnasema mabo ya kujichanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…