Time is ripe for response. Vyama pinzani vikiweka mikakati mizuri, kitaeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time is ripe for response. Vyama pinzani vikiweka mikakati mizuri, kitaeleweka.
kwahiyo ushirikina na uzushi upi ndiyo unauanini gentleman?Dogo,
Bila ile taarifa mngesha mgeuza mwendazake muda huu
eti hajiwezi kwa lolote huku akiongea kwa shida, dah!!Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT.
Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida.
===============
Kwa upande mwingine Malisa ametoa maelezo mengine kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram
Wasamaria wema" waliomuokota Nondo Coco Beach kwanini wamempeleka ofisini badala ya hospitali? Inaelezwa Nondo amejeruhiwa vibaya na hawezi kutembea wala kuongea.
"Sasa wamempeleka ofisi za chama akafanye nini? Anyway, its a good thing kama chama kimechukua initiatives za kimkimbiza Aghakhan kwa matibabu. Kwa sasa kipaumbele kiwe afya yake kwanza, Hayo mengine tutayajua vizuri akishapona".
Soma Pia: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Source
Boniphace Jacob
Ex mayor.
View attachment 3166864
Na tena imeingiliwa kweli kweli,bouncer ni wengi kweli kweli na dozi wanatoa kweli kweli.Nchi imeingiliwa hii!
Tuite basi maneno matamu yanayokupendezaeti hajiwezi kwa lolote huku akiongea kwa shida, dah!!
sasa hii su chumvi kabisa ya magadi mchana kweupe 🐒
Watakao ingia kwenye 18 zaoWatauwa wangapi bas
moja anasema eti hawezi kuongea wala kutembea,Tuite basi maneno matamu yanayokupendeza
Luga gani mzuri zaidi ingetumikamoja anasema eti hawezi kuongea wala kutembea,
halafu jamaa jingine linasema eti anaongea kwa tabu?
Yaan confusers are confusing themselves
Ni amri ya saba katika zile kumi.Usiue
ITV wametangaza Nondo ametekwa. Wewe unasema atekwe kwa lipi? Kuna watu wamefuga makas kichwanHaya sasa mko humu kuongelea Nondo. Hivi hamuoni huu ni mchezo. Atekwe kwa lipi?
Mbona mnakuwa wazito kujumlisha na kutoa hii hesabu. Mnaacha kumuongelea Soka na Mdude mnamuwazia sijui nondo.
Hii ni daganganya toto Nanyi mmeingia box. Upinzani bongo ni sarakasi mweh
Aicitii na sisiem na sisiem ni aicitii.
Uongozi wa chama cha pande ile kurukia habari bila kuichambua. Kuna watu wanakula mkwanja kuigiza. Haya Sasa mmeambiwa kaokotwa kapele kwa ofwisi.
Halafu anatokea mwehu mmoja anataka kifo cha Dr Ngungulile aliyefia ushuani huko kiombolezwe na makabwela...manina wallahInasikitisha sana ,sasa wamepata faida gani? Wamemuua kibao ,wamemuua Ben saanane then?? Uchafuzi wanajipakulia minyama wao ,sasa si bora tu waendelee kufanya uchafuzi huku wananchi wakibaki salama?
Mkuu karibu chama la wana,nakutunuku nishani ya afisa makasiriko msaidizi wa Jf. Idara ya wasiopenda upuuzi. Jambo baya likimfika mwanamwema mwenye mawazo mbadala kwenye mustakhabali wa uongozi wa nchi linashabikiwa na wana ccm....wasichokijua ni kwamba hili ombwe likiishamaliza walioko mstari wa mbele kukosoa,litawarudia chawa wake ambao siku zote walikua wapiga zumari na hapo ndipo kitakuwapo kilio kikuu kishiriki.ITV wametangaza Nondo ametekwa. Wewe unasema atekwe kwa lipi? Kuna watu wamefuga makas kichwan
Kama utekaji unaruhusiwa katika hii nchi basi nami nakusanya detail zako nije nikuteke ukanichumie kisamvu
Kama mtu amevunja sheria kuna utaratibu wa kumkamata mtu na siyo kutekana.
Ni muhimu watu wamiliki bastola hata SMG ili tujilinde dhidi ya watekaji.
Unazeeka vibaya kama FaizaFoxy
Yaani akili zako wewe ka za mtoto wa darasa la pili,hicho kikundi kiundwe na nani toka jamii Gani ya watanzania na msimamizi wa hiki kikundi awe nani!?Me nimesema kiundwe kikundi cha kufuatilia watekaji na familia zao.Wakijulikana ni kuwachoma moto wao na familia zao mchana kweupe.
Haya sasa mko humu kuongelea Nondo. Hivi hamuoni huu ni mchezo. Atekwe kwa lipi?
Mbona mnakuwa wazito kujumlisha na kutoa hii hesabu. Mnaacha kumuongelea Soka na Mdude mnamuwazia sijui nondo.
Hii ni daganganya toto Nanyi mmeingia box. Upinzani bongo ni sarakasi mweh
Aicitii na sisiem na sisiem ni aicitii.
Uongozi wa chama cha pande ile kurukia habari bila kuichambua. Kuna watu wanakula mkwanja kuigiza. Haya Sasa mmeambiwa kaokotwa kapele kwa ofwisi.
Lakini Mchinjita anasema ameokotwa coco beach, mbna mnasema mabo ya kujichanganya?Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT.
Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida.
===============
Kwa upande mwingine Malisa ametoa maelezo mengine kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram
Wasamaria wema" waliomuokota Nondo Coco Beach kwanini wamempeleka ofisini badala ya hospitali? Inaelezwa Nondo amejeruhiwa vibaya na hawezi kutembea wala kuongea.
"Sasa wamempeleka ofisi za chama akafanye nini? Anyway, its a good thing kama chama kimechukua initiatives za kimkimbiza Aghakhan kwa matibabu. Kwa sasa kipaumbele kiwe afya yake kwanza, Hayo mengine tutayajua vizuri akishapona".
Soma Pia: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Source
Boniphace Jacob
Ex mayor.
View attachment 3166864
Sema Watanganyika.
Utekaji haupo huku Zanzibar