Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

Binafsi nimesikitishwa sana na tukio la huyu dogo kutekwa Kwa sababu Kwa muda niliowafahamu na kuwafuatilia ACT Wazalendo hawajawahi kuwa na Lugha za maudhi ,dharau au kutukana viongozi kama Chadema unless mnisahijishe.

Wanafanya saisa za ukosoaji za kistaarabu Sasa Kwa nini atekwe? Angekuwa mtu wa Chadema nisingestuka Kwa sababu ya hulka yao.

Pole sana Kwa dogo ila kama ukosoaji tuu haitakiwi basi Hali si Hali.

Kuna watu wanamtengenezea mama Bomu,subirieni mtakuja kuona.
 
Kama anaamini ni Mchengerwa wewe ni sababu zipi zinazokufanya umpinge, kama wamezinguana Twitter na huyo fala Mchengerwa jinsi system inavyoendeshwa ki-Mafia hilo linawezekana kuwa kahusika kama suala zima si drama from word go.
Wangapi wanaongea tu Twitter?
 
Mmeelewa sasa issue za watu kufa kariakoo ungeshaona kila kiongozi , wasanii , mitandao ya kijamii zinamake headline ila hili hutakaa usikie hili limezungumziwa na media au kujadiliwa na kiongozi yeyote. Tunakua na matamko kwenye majanga kwa sababu inawabeba kisiasa
Hili hata waandishi wa habari huji kusikia walijadili 🤣🤣
Uchungu unaotokana na majanga ni uchungu sawa na huu wa watu kupotezwa , kuuwawa , kupigwa au kufanyiwa vitendo vya kikatili na wamemrudisha kwa sababa kina zitto wamepiga sana kelele
 
Mimi naamini samia anajua kila kitu , hebu kumbuka story ya sativa yule afande Mafwele hadi watu wanamtaja jina ila ikapita huyu Nondo hadi wameona plate number , hadi majamaa wakadondosha Pingu ! 🤣🤣 Ila watajifanya hawaoni , haya mzee kibao alivyochukuliwa kama utani vile
 
Hahahaha jinga hili yanatekana mwenyewe kwa mwenyewe haha dogo kala kipondo toka kwa ayatola zitto hahaha
 
Kwa hiyo kumbe Chadema ni haki yao kutekwa?
 
Si useme tu unadhani ni bomu gani linatengenezwa na akina nani hao ???!
Au na wewe ni muoga kama mimi ??! 😂😅🤦🏽‍♂️

Maana tuliambiwaga labda mambo yaharibike zaidi 😳🙄 !
Je ndio kwa namna hii ????!!
 
Juzi wamemaliza kuiba kura sasa wameanza kuiba watu na kuwatesa. Mungu anawaona.
 
Kwa hiyo unamaanisha Chadema ni haki yao kutekwa kwa sababu ya hulka yao ya kutusi viongozi?
Kwa mantiki hiyo unataka kutuambia kuwa wanaoteka(watekaji) kumbe ni viongozi (serikali)??
 
Kwahiyo huyu hauoni sababu ya yeye kutekwa ila kwa wale wa CHADEMA unaiona sababu na uhalali wa wao kutokwa kwasababu ya lugha zao za maudhi na dharau.?

Kivyovyote vile utekaji hauwezi kuwa sawa, na kama suluhisho ni kutekana basi waondoe vyombo vyote vya usimamizi wa sheria.
 
Maliza kwanza Mp, sijui umeandika nini bibie akisomeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…