The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Binafsi nimesikitishwa sana na tukio la huyu dogo kutekwa Kwa sababu Kwa muda niliowafahamu na kuwafuatilia ACT Wazalendo hawajawahi kuwa na Lugha za maudhi ,dharau au kutukana viongozi kama Chadema unless mnisahijishe.Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT.
Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida.
===============
Kwa upande mwingine Malisa ametoa maelezo mengine kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram
Wasamaria wema" waliomuokota Nondo Coco Beach kwanini wamempeleka ofisini badala ya hospitali? Inaelezwa Nondo amejeruhiwa vibaya na hawezi kutembea wala kuongea.
"Sasa wamempeleka ofisi za chama akafanye nini? Anyway, its a good thing kama chama kimechukua initiatives za kimkimbiza Aghakhan kwa matibabu. Kwa sasa kipaumbele kiwe afya yake kwanza, Hayo mengine tutayajua vizuri akishapona".
Soma Pia: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Source
Boniphace Jacob
Ex mayor.
View attachment 3166864
Wanafanya saisa za ukosoaji za kistaarabu Sasa Kwa nini atekwe? Angekuwa mtu wa Chadema nisingestuka Kwa sababu ya hulka yao.
Pole sana Kwa dogo ila kama ukosoaji tuu haitakiwi basi Hali si Hali.
Kuna watu wanamtengenezea mama Bomu,subirieni mtakuja kuona.