Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

Kiukweli wanamchafua Rais, Act mbona wako poa
 
I
nitaimba milele huu wimbo kama kuna viumbe wa hovyo Mungu aliumba basi ni watu weusi, wahindi na waarabu.
Imebidi nicheke tu
Maana umefikiria mbali sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜€
Duh πŸ™„ ! Umekaribia kaukweli ukweli fulani hivi !
Lakini hata Wazungu wana mabaya yao ila ya hao uliowataja yamevunja records zote za Duniani ! πŸ˜³πŸ˜±πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ
 
Bora wamempeleka ofc za chama kuliko kumuacha koko Beach, hospitali ilitakiwa wakatoe maelezo polisi kwanza
 
Hii theory hata mimi ninayo muda mrefu sana. Kuithibitisha ni muda wa kuchukua fomu. kukiwa kimya theory itakosa nguvu
 
Ndugu acha masikhara kwenye roho za watu sisi sote tunakipenda chama lakini ukweli lazima usemwe kwa mwendo wa sasa wa jeshi la Polisi unaogopesha kwa kweli Jeshi letu la Polisi kwa sasa haliaminiki na linaogopwa na Wananchi si Jeshi rafiki tena
 
Watanzania tunapitia wakati mgumu sana kwenye huu utawala. Unaambiwa mwendo ni huu huu hadi 2030, Mungu atunusuru tu maana kwa unyumbu wetu sisi si lolote mbele ya huu utawala.
Mpaka 2030 Watanganyika wengi tutapotea
 
Amegeuka kuwa katili sana.... Mungu ahusike kwenye hili

Mwenyewe anakwambia hajawahi kuua hata sisimizi ... inaonyesha ni jinsi gani haelewi impact ya utawala wake.

hajui kuwa as much as wanamuhusisha na Mafanikio yake (Mama anaupiga Mwingi) ajue pia kuwa na mabaya yote yanayotokea kwa sasa pia yanamuhusu. That's how the GAME works..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…