Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

Awape tu taarifa kamili ya watekaji na wauaji ili Tume ya uchunguzi iyafanyie kazi.
 
Hakuna sababu ya kufanyika yote hayo kama ni kweli,kwanini majibu ya maswali kuhusu utekaji,uuwaji,utesaji,na mashambulio yaliyofanywa yaliyokwisha chunguzwa yasitolewe majibu? Badala ya kukamatwa wanaoomba kupatiwa majibu?
 
Wanafanya haya kwa sababu wanajua watajiweka wenyewe madarakani...hawahitaji kura za watanzania....ipo siku lakini nao watalia tu...
 
Chadema hadi mjambe cheche ...niliwaambia msifurahie kifo cha JPM kabla ya kujua aliuliwa au la mkaniona mpumbavu 😁😁😁
 
Maana yake yeye na wasaidizi wake.

Au ukitaka kumbrabd as gender quer?
Askofu anajua kuandika "Mimi na wasaidizi wangu". Au "Sisi" bila kuweka "Askofu Mwamakula". Hiyo "Sisi Askofu Mwamakusi..." ni "Royal Plural".

Wafalme kama wa Uingereza mpaka Haile Selassie waliitumia kumaanisha maneno wanayoyasema si yao na ya wasaidizi wao tu, bqli yanawakikisha mpaka vizazo vyote vilivyopita, vilivyopo na vinavyokuja.

Ukisikiliza hotuba za Wafalme, kwa mfano kwenye ile hotuba ya Negus Nagas Emperor Haile Selassie iliyowekwa kwenye wimbo na Bob Marley, wimbo wa "War". Utagundua mfalme Haile Selassie hajatumia "I". Ametumia "We" karibu mara zote.

"Sisi Askofu Mwamakula" ni katika muktadha huo.

#FreeBoniYai
 
Ila wabongo ni wajinga sana kama bado wanachukuliwa tu kienyeji tena kikaoni na watu wanaojitambulisha tu kuwa ni polisi bila ithibati yoyote.
 
LAANA NILIYO WAAMBIENI JUU YA IBILISI NIYA KWELI AU UONGO ...KAMA IBILISI AKIENDELEA NA UONGOZI ZAIDI YA SASA DAMU NYINGI SANA ITAMWAGIKA ...MIMI NI GENIUS SIBAHATISHI NINACHO SEMA


SALAMU SA100 UMEJAALAANA NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKO KALAANIWA TOKEA SASA VIZAZI VYOTE WATAKUITA MLAANIWA.
 

Watu waliokua na silaha ambao wamejitambulisha kuwa ni Polisi, wamemvamia Meya wa Zamani wa Ubungo @exmayor_bonifacejacob maeneo ya Golden Fork, Sinza alipokua akipata chakula na kumkamata. Bonny amepambana kujitetea lakini wamemzidi nguvu kwa kuwa wapo wengi na wana silaha. Wamefanikiwa kuondoka nae.

Baadhi ya watu wamefuatilia gari hilo na kuona likielekea kituo cha Polisi Oysterbay. Viongozi mbalimbali wa chama pamoja na Wanasheria wanaelekea kituoni hapo kujua sababu ya kukamatwa kwake. Taarifa zaidi zitawajia.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…