Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

Unadhani dola inaweza kutishwa na frequency ya posts zenu za kuhuni??
Mimi sizungumzii kuhusu dola kutishwa bali nazungumzia kuhusu uhalisia wa mambo jinsi yalivyo kutokana na uzoefu wa historia ya miaka ya nyuma iliyopita.

Kuambuka: Historia huwa ina kawaida ya kujirudia na kutengeneza "Precedent."
 
Upo sahihi

Siku vyama vya upinzani vikiwa na wafuasi (unakuta kanali au brigedia au meja jenerali, au luteni jenerali au jenerali cdf anaunga mkono upinzani) au ushawishi au uungwaji mkono ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kuna mambo mawili yanaweza kutokea
1. Mapinduzi ya kijeshi (coup d'etat)
2. Vita ya wenyewe kwa wenyewe, maaskari wa sisiemu vs maaskari wa upinzani. Itakuwa vita moja mbaya sana.
MUNGU atusaidie sana hawa mbuzi CCM waondoke nchi ikiwa salama.
 
Wito wangu kwa polisi ni mmoja tu yaani tusiogope kukamata wanaojiita wanaharakati ambao kila siku wanakesha tweeter a.k.a X wakizodoa kila jambo linalofanywa na Serikali.
Haiwezekeni eti kila linalofanywa na Serikali ni baya tu na kutaka kuaminisha umma wa watanzania na jamii ya kimataifa eti Tanzania ni wabaya.
this is misinformation...let the the police deal with it.
watakamatwa na kuwajibishwa ipasavyo na bila mbambamba yoyote kutoka popote...

lazma wananchi wote wawe na heshima kwa serikani na viongozi wa nchi wapende wasipende 🐒
 
Sidhani kama ccm watatoka kwa sanduku la kura, never.

Labda yatokee maajabu.

1. Ndoa kati ya ccm na vyombo vya ulinzi na usalama ivunjike ama kisirisiri au kwa wazi. Mfano vyombo vya ulinzi na usalama viamue kukataa kutumika kuiba kura na kukataa kutumika kuharibu uchaguzi, ikitokea hivyo ccm watagaragazwa vibaya mno kwenye sanduku la kura.

2. Yatokee maandamano makubwa mno nchi nzima mpaka watu waingie ndani ya ikulu, mpaka rais akimbie nchi, kama maandamano ya Sri Lanka au Bangladesh

Zaidi ya hapo ccm kutoka ni mpaka Bunduki itumike labda Yatokee mapinduzi ya kijeshi rais anakamatwa na kutolewa madarakani.

Labda Mungu atende miujiza

Ova
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Duh!
 
Ukifanya utafiti wa kina sana utagundua kwamba nchi nyingi sana ambazo ziliwahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe mwanzo wake ulianza kwa namna hii hii ambayo tunapitia hapa Tanzania kwa Sasa.
kweli...vilaza wakiachwa kusema upuuzi wao kisa demokrasia mwisho wake huwa hivyo.
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
This is what CCM has gone through.The opposition in Tanzania is used by neo colonialist to bring chaos
 
Sidhani kama ccm watatoka kwa sanduku la kura, never.

Labda yatokee maajabu.

1. Ndoa kati ya ccm na vyombo vya ulinzi na usalama ivunjike ama kisirisiri au kwa wazi. Mfano vyombo vya ulinzi na usalama viamue kukataa kutumika kuiba kura na kukataa kutumika kuharibu uchaguzi, ikitokea hivyo ccm watagaragazwa vibaya mno kwenye sanduku la kura.

2. Yatokee maandamano makubwa mno nchi nzima mpaka watu waingie ndani ya ikulu, mpaka rais akimbie nchi, kama maandamano ya Sri Lanka au Bangladesh

Zaidi ya hapo ccm kutoka ni mpaka Bunduki itumike labda Yatokee mapinduzi ya kijeshi rais anakamatwa na kutolewa madarakani.

Labda Mungu atende miujiza

Ova
Wapinzani wanaotumiwa na wakoloni wanyongwe hadi kufa
 
Wito wangu kwa polisi ni mmoja tu yaani tusiogope kukamata wanaojiita wanaharakati ambao kila siku wanakesha tweeter a.k.a X wakizodoa kila jambo linalofanywa na Serikali.
Haiwezekeni eti kila linalofanywa na Serikali ni baya tu na kutaka kuaminisha umma wa watanzania na jamii ya kimataifa eti Tanzania ni wabaya.
this is misinformation...let the the police deal with it.
Hao wala wasikusumbuwe kabisa, dawa yao iko jikoni.
 
Wito wangu kwa polisi ni mmoja tu yaani tusiogope kukamata wanaojiita wanaharakati ambao kila siku wanakesha tweeter a.k.a X wakizodoa kila jambo linalofanywa na Serikali.
Haiwezekeni eti kila linalofanywa na Serikali ni baya tu na kutaka kuaminisha umma wa watanzania na jamii ya kimataifa eti Tanzania ni wabaya.
this is misinformation...let the the police deal with it.
Leo naona ni bandika bandua.. Mada juu ya mada😂
 
Hivi unafikiri Dunia haijui yanayoendelea Tanzania mpaka itegemee Wanaharakati wa Tanzania?!
 
Wito wangu kwa polisi ni mmoja tu yaani tusiogope kukamata wanaojiita wanaharakati ambao kila siku wanakesha tweeter a.k.a X wakizodoa kila jambo linalofanywa na Serikali.
Haiwezekeni eti kila linalofanywa na Serikali ni baya tu na kutaka kuaminisha umma wa watanzania na jamii ya kimataifa eti Tanzania ni wabaya.
this is misinformation...let the the police deal with it.
Mkuu kuna uchaguzi umekaribia. Kumbuka ushenzi na uhuni uliofanyika wakati wa uchaguzi wa 2019/2020.
Kwa nini watu wanaogopa uchaguzi wa huru na haki wakati wamafanya mengi mazuri?

Kwa nini kila uchaguzi mpaka uwepo wizi wa kura?
Kwa nini tunaogopa wanachi wapige kura?
 
Wito wangu kwa polisi ni mmoja tu yaani tusiogope kukamata wanaojiita wanaharakati ambao kila siku wanakesha tweeter a.k.a X wakizodoa kila jambo linalofanywa na Serikali.
Haiwezekeni eti kila linalofanywa na Serikali ni baya tu na kutaka kuaminisha umma wa watanzania na jamii ya kimataifa eti Tanzania ni wabaya.
this is misinformation...let the the police deal with it.
Umemaliza kuandika Mkuu au bado?
 
Back
Top Bottom