Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana,ni kuimba kwa kupokezana na anayecheka wa mwisho ndo hucheka vizuri🤣🤣🤣 au li Boni Yai ni li sukuma gang🏃♂️🏃♂️Uwiiii nimecheka kwa nguvu, acha wakomeshwe, walitamba sana na kutunyanyasa sukuma gang
Mimi nafurahi tu yeye huyo bibi hakujua kwamba CHADEMA ni kunguru hafugiki? Nilijua tu ushirika wao usingefika mbali maana ulijengwa kwenye misingi ya unafiki,ulafi na kuviziana ona sasa kiko wapi!Chadema wamebugi wenyewe,maza alikua fair,sasa hivi wameanza eti 'samia must go'..hata ungekua wewe unaona watu wanapanga kupeleka moto mpaka uachie madaraka utafanyaje!?
Huyo Jiwe alaniwe huko aliko maana ndio chanzo cha yote haya.Chadema hadi mjambe cheche ...niliwaambia msifurahie kifo cha JPM kabla ya kujua aliuliwa au la mkaniona mpumbavu 😁😁😁
Amani ya wapi? Majizi tu na mauaji tu nyie.Kamata kabisa hao wanataka kutuharibia amani ya nchi yetu.
Jamba cheche blood pus😁😁Huyo Jiwe alaniwe huko aliko maana ndio chanzo cha yote haya.
Nimeiona hii kwenye taarifa ya habari leo bana kweli nazeeka vizuri
Hatabambikiwa vitu vya magendo kwenye huo upekuzi wanaokwenda kufanya usiku huu?Je naye atauawa?
Ukifanya utafiti wa kina sana utagundua kwamba nchi nyingi sana ambazo ziliwahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe mwanzo wake ulianza kwa namna hii hii ambayo tunapitia hapa Tanzania kwa Sasa.Wito wangu kwa polisi ni mmoja tu yaani tusiogope kukamata wanaojiita wanaharakati ambao kila siku wanakesha tweeter a.k.a X wakizodoa kila jambo linalofanywa na Serikali.
Haiwezekeni eti kila linalofanywa na Serikali ni baya tu na kutaka kuaminisha umma wa watanzania na jamii ya kimataifa eti Tanzania ni wabaya.
this is misinformation...let the the police deal with it.
Njia pekee ya kumbambikia kitu Bonny ni kumuua tu, akiwa hai haiwezekani, Wambura na Muliro wanafahamu, huyu ni Rambo wa AfricaHatabambikiwa vitu vya magendo kwenye huo upekuzi wanaokwenda kufanya usiku huu?
Unadhani dola inaweza kutishwa na frequency ya posts zenu za kuhuni??Ukifanya utafiti wa kina sana utagundua kwamba nchi nyingi sana ambazo ziliwahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe mwanzo wake ulianza kwa namna hii hii ambayo tunapitia hapa Tanzania kwa Sasa.
Upo sahihiUkifanya utafiti wa kina sana utagundua kwamba nchi nyingi sana ambazo ziliwahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe mwanzo wake ulianza kwa namna hii hii ambayo tunapitia hapa Tanzania kwa Sasa.