Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Karibu Tanzania,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyika aliitwa,kaenda!?Abduction, pure abduction maana kama siyo abduction wangelimtumia wito kama Mnyika!
Nashituka kwanini alikuwa peke yake bila kundi la watu, hivi kweli hakuna waliopiga picha?
Mbowe na wengine wawe macho, tembea na kundi la watu wasiopungua 10 na camera on ready to take pictures na wakae strategically!...strategic position wasionekane wakati wanachukua picha Erythrocyte
Inaelekea Chadema kinaongozwa na kiongozi wa dini. Hebu Chadema tulieni subirini taarifa kama Mh Rais alivyovitaka vyombo vya ulinzi vifanye uchunguzi haraka na vimpelekee taarifa. Kwa kweli mnaongea mengi mno hili la Samia Must Go siliungi mkono. Element kwamba kuongoza nchi busara inahitajika sana. Sote tunahamu ya kusikia watekaji ni akina nani sasa kabla hata kuanza au katikati ya mambo mnajaza mambo mengine. Leo mmetoa tamko kwamba ifikapo tarwhe 21 September 2024 mpate report na mkasema sasa hamna imani tena na uchunguzi wa vyombo vya ndani. Okay sawa sasa subirini mpate taarifa toka kwa huyo nnayetaka awaletee wachunguzi huru. Amani ni muhimu sana kwa sasa maana bila amani hata kutembeleana itakuwa ngumu.Askofu anajua kuandika "Mimi na wasaidizi wangu". Au "Sisi" bila kuweka "Askofu Mwamakula". Hiyo "Sisi Askofu Mwamakusi..." ni "Royal Plural".
Wafalme kama wa Uingereza mpaka Haile Selassie waliitumia kumaanisha maneno wanayoyasema si yao na ya wasaidizi wao tu, bqli yanawakikisha mpaka vizazo vyote vilivyopita, vilivyopo na vinavyokuja.
Ukisikiliza hotuba za Wafalme, kwa mfano kwenye ile hotuba ya Negus Nagas Emperor Haile Selassie iliyowekwa kwenye wimbo na Bob Marley, wimbo wa "War". Utagundua mfalme Haile Selassie hajatumia "I". Ametumia "We" karibu mara zote.
"Sisi Askofu Mwamakula" ni katika muktadha huo.
#FreeBoniYai
wauaji wakikudhamiria hata kaburini watakufuata ndugu yanguHatari! Ila kwa taarifa ambazo huwa anazitoa ilikuwa ni kiasi cha muda tu.
Alitakiwa kuchukua tahadhari kipindi hiki.
Hamna mungu hapo acha ujinga wewe mpiganie wewe ila mungu hayupo watanzania ujinga utawaisha liniMungu ampiganie asee.
TAARIFA YA DHARURAKupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii hawezi kunyakuliwa kama mwizi.
Soma Pia: Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikisema kada wake aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob 'Boni Yai' amekamatwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, Mtatiro Kitwinkwi amesema hana taarifa.
Akizungumza na Mwananchi kamanda Kitwinkwi kuhusu sakata hilo amesema: “Hapana, sina taarifa.”
Taarifa za Jacob kukamatwa, zimeanza kusambaa mitandaoni dakika chache zilizopita leo Jumatano, Septemba 18, 2024 na kwamba amekamatiwa Sinza, jijini Dar es Salaam.
Mwananchi limemtafuta, Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu ambaye amesema yupo njiani kuelekea Kituo cha Polisi cha Osterbay.
“Ni kweli amekamatwa na polisi waliovalia sare na wengine wamevalia kiraia maeneo ya Sinza. Walikuwa na defender na tuna taarifa kuwa amepelekwa Osterbay polisi na mimi niko njiani nakwenda.”
===
Saa 12:07 Jioni: Ameandika Yericko NyerereView attachment 3099699
Kwa mjibu wa Wakili Hekima Mwasipu, nikwamba Mhe. Bon Yai amekanatwa na Polisi na yuko Ostabei ofisi ya RCO, kwasasa simu zake zinachukuliwa kisheria kisha ataanza kuandikwa maelezo yake! Mliokaribu fikeni Obei fasta na barua za dhamana mkononi ili mahojiano yakiisha iwe rahisi kumwekea dhamana! Makosa anayotuhumiwa ni kusambaza taarifa za Uongo.
Saa 12: 15 Jioni: Ameandika John MremaView attachment 3099726
Boniface Jacob amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork, Sinza majira ya saa 11.09 jioni ambapo polisi 2 wenye uniform na 3 waliokuwa hawana uniform wenye silaha walifika hotelini hapo na kumkamata Kwa nguvu na kumpakia kwenye gari Yao aina ya defender
Katika kurupushani hiyo amechaniwa nguo na sasa OC CID wa Osyterbay amewataka Mawakili wetu kumpelekea nguo kituoni hapo! Tunaendelea kufuatilia taarifa za kina kuhusu tukio hili.
Saa 12: 30 Jioni: Anaandika John MremaView attachment 3099748
Polisi wa Osyterbay wanaelekea nyumbani Kwa Boni Yai muda huu kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwake !
Hawajasema wanachoenda kukipekua.
Mawakili wetu wapo na wataambatana naye kuelekea kwenye upekuzi huo!
Saa 12: 40: Ufafanuzi wa PolisiJeshi la Polisi limekiri kumshikilia Boniface Jacob kutokana na tuhuma za Makosa ya Jinai zinazomkabili
Soma: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
Unanijumlisha mimi kwenye CHADEMA kwani mimi CHADEMA?Inaelekea Chadema kinaongozwa na kiongozi wa dini. Hebu Chadema tulieni subirini taarifa kama Mh Rais alivyovitaka vyombo vya ulinzi vifanye uchunguzi haraka na vimpelekee taarifa. Kwa kweli mnaongea mengi mno hili la Samia Must Go siliungi mkono. Element kwamba kuongoza nchi busara inahitajika sana. Sote tunahamu ya kusikia watekaji ni akina nani sasa kabla hata kuanza au katikati ya mambo mnajaza mambo mengine. Leo mmetoa tamko kwamba ifikapo tarwhe 21 September 2024 mpate report na mkasema sasa hamna imani tena na uchunguzi wa vyombo vya ndani. Okay sawa sasa subirini mpate taarifa toka kwa huyo nnayetaka awaletee wachunguzi huru. Amani ni muhimu sana kwa sasa maana bila amani hata kutembeleana itakuwa ngumu.
Ukiwa kwenye mfumo unaweza kuhisi wewe ndio serikali yenyewe 😂😂We tukana tu kama mlivyozowea,ila muda wa kuwashughulikia ni huu, serikali haicheki na kima
Mimi raia tu mpenda majaaliwa mema ya nchi, huwezi anzisha movement ya kumng'oa rais halafu utazamwe tuUkiwa kwenye mfumo unaweza kuhisi wewe ndio serikali yenyewe 😂😂
Wewe itakua unalawitiwaMimi raia tu mpenda majaaliwa mema ya nchi, huwezi anzisha movement ya kumng'oa rais halafu utazamwe tu
Dar ngumu sana wakati anakukuruka ,watu wanatazama
Watu waliokua na silaha ambao wamejitambulisha kuwa ni Polisi, wamemvamia Meya wa Zamani wa Ubungo @exmayor_bonifacejacob maeneo ya Golden Fork, Sinza alipokua akipata chakula na kumkamata. Bonny amepambana kujitetea lakini wamemzidi nguvu kwa kuwa wapo wengi na wana silaha. Wamefanikiwa kuondoka nae.
Baadhi ya watu wamefuatilia gari hilo na kuona likielekea kituo cha Polisi Oysterbay. Viongozi mbalimbali wa chama pamoja na Wanasheria wanaelekea kituoni hapo kujua sababu ya kukamatwa kwake. Taarifa zaidi zitawajia.!
Huna akili.Itakua huujui mkong'oto wa polisi