Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Kumbe hao mawakili wasomi hawana lolote mpaka utashi wa hakimu hongera sana mahakama kutofanya kazi kwa mihemko!
 
Kweli watawala waoga wanaogopa maandamano
 
Kapendeza alivonyolewa yai umependeza na ndevu zimepata rutuba kwakula dona umekuwa yai yai kweli ongella zako.ì
 
Kapendeza alivonyolewa yai umependeza na ndevu zimepata rutuba kwakula dona umekuwa yai yai kweli ongella zako.ì
Dona ndilo lenyewe sio haya masembe ya kina Lukas Mwashambwa na tlatlaah!
 
Baada ya mission kufeli ndiyo wanamwachia? Walitamani akute uchaguzi umepita au aangushwe akiwa korokoroni! Pumbavu kabisa!
 
Kwa hiyo ukiwa na midevu gerezani hawainyoi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…