Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

Butimba TTC

Kuna wakati mama Gaudensia Kabaka Mwenyekiti mstaafu wa UWT alikuwa mkuu wa Chuo pale

Private Candidate hufanya Mitihani popote pale usiteseke sana Boniyai πŸ˜‚
johnthebaptist kiukweli Butimba TC ni Kituo cha NECTA kwa Private Candidates (O-LEVEL $ A-LEVEL) kwa miaka mingi tu. Sasa huyu Boniphace Jacobo anawahadaa wasiojua. Kwa kifupi Mh. Nape hakusoma darasani form six bali alifanya kama Private Candidate pale Butimba.
 


Duh duh, Jacob ana uhakika na hili kweli?


Hii nchi, nae Mbowe Form 6 kala yai, yaani kazungusha, Mbowe kapata Div 0 yeye kaamua kukaa kimya na Zero yake halali, kwenye mambo ya Elimu, Mbowe huwezi sikia akingoea kitu, kimya kabisa ila kwenye makelele ya siasa makelele mengi, hawa watu wenye makelele au utendaji mbovu elimu zao ni tatizo sana, wewe fuatilia wapiga kelele wengi iwe Chama chochote utaona tu elimu hakuna.
 
NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE.

Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw.Nape Moses Nnauye
Je,chadema ni kama nyumbu?

Butimba TCC (Tanzania Cigartte Company au TTC (Teachers' Training College)?
Yaani hujui maana ya PC?
Kenge wewe.
Hata hivyo tunahitaji watu wenye akili zaidi na siyo wenye mavyeti zaidi.
 
Makorokocho yote ulioandika yanafutwa na hoja Moja tuu. KITUO CHA PRIVATE CANDIDATE CHUONI HAPO KILIKUWEPO MIAKA MINGI
Nisaidie mimi binafsi nielewe vizuri. Mleta mada kasema 'inasemwa' nape kasoma pale kati ya 1998 na2000. Wewe unazungumzia kituo cha private candidate. Nilivyoelewa hujajibu hoja ya mleta mada, bali umekuja na hoja mpya kwamba nape alifanyia mtihani pale kama private candidate. Hebu njoo na ufafanuzi p'se.
 
Mbowe amedanganya? Ona huyo akili fupi
 
Watani wa jadi!
 
Si Kuna MRADI wa waalimu walikuwa wanawanoa kama tuition na baadaye kafanyia mtihani hapo hivyo unataka kusema A level kasoma wapi tofauti na KITUO alichofanyia mtihani?
 
Butimba TTC

Kuna wakati mama Gaudensia Kabaka Mwenyekiti mstaafu wa UWT alikuwa mkuu wa Chuo pale

Private Candidate hufanya Mitihani popote pale usiteseke sana Boniyai [emoji23]
Wewe ukifanya mtihani hapo Gangilonga kama Private candidate matokeo yakitoka utaandikiwa umesoma Gangilonga Secondary school?
 
Ufafanuzi gani zaidi ndugu kwamba huelewi private candidate ni nini?
 
Swali ni moja tu na hujalijibu. Butimba TTC Secondary school ilikuwepo 1998-2000? Au kituo cha mtihani kilisajiliwa kikiitwa Secondary school?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…