LGE2024 Boniface Jacob: CCM wamechagua mwisho mbaya

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hili jambo linafikirisha sana.. cha ajabu usalama wanashirikiana na hawa waovu
 
Trends indicate......Not likely to happen in TZ !!
 
Nchi imekuwa ukiwa, hatuna haki ya kumchagua tumtakaye,tunapangiwa tutake tusitake!
Ni kikundi cha watu fulani "sydicate" kwa maslahi yao kwanza, then wananchi baadae, mikataba mibovu inapingwa hadharani na Wanazuoni nguli wa sheria na viongozi wa dini, lakini kikundi hiki hakiambiliki!..hali ya maisha imekuwa ngumu, hatupaswi kuuliza, Mikataba inaingiwa na kiuhalisia haibebi taswira ya kumsaidia Mtanzania (Inatupa wajibu kuliko haki).

Mahakama na bunge nao wamekuwa upande wa kikundi hiki, kwa kifupi watanzania wamekaa na vinyongo na hawana option zaidi ya kujilalia zao majumbani huku "syndicate" ikitia tick majina ya watu wao,kulipana posho na kesho kujitangazia ushindi wa kishindo!

Then business as usual, 2025 mitano tena, hakuna jipya, hadi iyo siku itapofika.
 
Ishu je ni kundi lipi ktk jamii litaanzisha hilo vuguvugu?
Majobless na watu walipigika kiuchumi.


Utashangaa mamilioni ya watu ghafla wako ndani ya ikulu. Kama maandamano ya Sri Lanka na Bangladesh
 
Watanzania kwa sasa wamekosa kiongozi wa kuongoza kudai nchi yao!

Siku akipatikana mpinzani wa kweli akiwaambia wapambane nina uhakika watapambana na hili CCM wanalijua.

Ndiyo maana CCM nguvu yao kubwa ni kuzorotesha chama chochote cha upinzani chenye mwenendo mzuri.
 
ni kosa la kisayansi katika siasa kupeana moyo na mstaafu wa muda mrefu kama huyo,

kivyovyote vile mazingira, mawazo na mitazamo yenu itakua ni tofauti mno kama vile ardhi na mbingu...

ni kujichosha tu au kupiga stories na porojo za pata potea ama kupotezea muda 🐒
 
CCM ni genge la hatari sana kwa watanzania!
 
Vita ya boniyai na tanpol ni kubwa sana
 
Ukosefu wa ajira + hali ngumu ya kiuchumi = maandamano ya kuitoa ccm madarakani , maandamano mpaka ikulu
Fanya kazi dogo. Ajira zipo za kumwaga labda kama huna uwezo kaongeze uwezo. Siku hizi hawaajiri vyeti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…